Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Sasa hivi washambuliaji wa yanga wakifika golini kwa azam wanaanza kucheza kiduku mabeki wa azam wanaosha
 
Na sio mechi hii tuu hadi mechi ya Azam na Mgambo tutaenda kwa Mkopo. Haiwezekani litimu ambalo kila msimu linapigwa faini za ushirikina likatuwakilishe nje ya nchi ni FEDHEHA KUBWA SANA NA AIBU

Steve yanga tumewazoea kuhamia kwenye vijiwe kujipendekeza kwa bakhressa japo upewe chapati moja na juisi ya kijoti.
 
Yeboyebo na lambalamba tutalipiza msimu ujao.
 
Hahahaaa leo sikuwa hata ubuyuni ila nilikua busy tu na issue flani hivi.
Ni kweli hii mechi ya kukamilisha ratiba naona haiendi kama tulivyotaka sisi.
Hivi tukitoka sare itakuwaje?

Kuna mahali nimesoma comment ya Makoye Matale anasema tukitoka sare inabidi azam ashinde mechi yake ya mwisho dhidi ya JKT Ruvu (kama sikosei), vinginevyo mikia wanakuwa wa 2
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…