Haludzedzele
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,468
- 530
Haaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sio mechi hii tuu hadi mechi ya Azam na Mgambo tutaenda kwa Mkopo. Haiwezekani litimu ambalo kila msimu linapigwa faini za ushirikina likatuwakilishe nje ya nchi ni FEDHEHA KUBWA SANA NA AIBU
Steve yanga tumewazoea kuhamia kwenye vijiwe kujipendekeza kwa bakhressa japo upewe chapati moja na juisi ya kijoti.
Gigy because I didn't knew her before...ngoja nitamleta mwingine ili nimjue...
Apia kama hamtatufunga tena!!! sema akyanani tufanye mambo yetu sasa hivi mpate nafasi ya pili
Hahahaaa leo sikuwa hata ubuyuni ila nilikua busy tu na issue flani hivi.
Ni kweli hii mechi ya kukamilisha ratiba naona haiendi kama tulivyotaka sisi.
Hivi tukitoka sare itakuwaje?
Huyu refa anataka tusawazishe wakati sisi hatutaki
Hahahahahaaaaaaa...inauma sana
Apia kama hamtatufunga tena!!! sema akyanani tufanye mambo yetu sasa hivi mpate nafasi ya pili
Azam 2 - Yanga-1