Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

... wenzenu tunawaza itakuwaje kama tukipanga na Al-Ahly tena.
Tofauti ni kubwa. Yaani mnawaza itakuwaje kama mkipangwa na Al Ahly? Kwa nini msiwaze namna gani tutaweza kucheza katika makundi ya ligi ya mabingwa! Yanga inapata nafasi mara kwa mara, lakini inawaza mechi moja moja (za Waarabu), Simba inapata nafasi mara chache lakini hizo hizo chache imeshacheza robo fainali, nusu fainali na fainali! Endeleeni kuiwaza Al Ahly, ila pia msisahau kuiwaza Simba!
 
Heri yako mkuu uliyelitambua hilo, vijana wa dotcom hawa wasiojua soka furaha yao kombe bila kumfunga mtani.

Sasa leo tutajua nani dotcom kati ya wewe na sisi. Tupe takwimu yanga na simba wamekutana mara ngapi na nani kafungwa mara nyingi?
 
grafani11 tunasubiria tupe takwimu yanga na simba wamekutana mara ngapi na nani kafungwa mara nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Hata hii wanayocheza Yanga na Azam, ni mechi ya mchangani! Wote wawili walishatolewa kwenye mashindano ya kimataifa kwenye raundi ya awali (AZAM) na raundi ya kwanza (YANGA). Wanajipanga kila mwaka!

Kule hakuna kununua mechi na kupanga matokeo.
 
Wataishiakupanda treniyasita waibena mapazia
 
Mvua imezuia mashabiki wa simba kutoka hivyo hawana budi kushuhudia Yanga wakikabidhiwa kombe lao. Uwanjani ni vituko wachezaji wa Yanga wamevaa jezi za Azam na Azam wamevaa jezi za Yanga. Hadi rahaaaaaaaa

Raha saaaaana.Hii ndio raha ya kuwa mpenzi wa mabingwa wa kihistoria Young Africans.
 
Yanga mabingwa,,,,,,,,,hongereni

Ukiangalia kwa undani sisi ndiyo mabingwa halisi. Ktk ligi ndogo (yenye timu kubwa za Simba, Azam, na Yanga) sisi ni mabingwa (tulivuna pts 4 kwa Yanga, na 4 kwa Azam). Simba ina point 8; Azam ina 5, na Yanga ni ya mwisho ina pts 2 tu!
 
Azam undugu na nyie umeisha leo...tunawarudisha kwa simba muendelee na undugu wenu kama mtu na dada yake

Mkuu hio miAzam basi tu lakn hua siipendagi hata kdg inaunazi sana na wala haina shukrani Crashwise pole sana
 
Last edited by a moderator:
Tofauti ni kubwa. Yaani mnawaza itakuwaje kama mkipangwa na Al Ahly? Kwa nini msiwaze namna gani tutaweza kucheza katika makundi ya ligi ya mabingwa! Yanga inapata nafasi mara kwa mara, lakini inawaza mechi moja moja (za Waarabu), Simba inapata nafasi mara chache lakini hizo hizo chache imeshacheza robo fainali, nusu fainali na fainali! Endeleeni kuiwaza Al Ahly, ila pia msisahau kuiwaza Simba!

Sisi tunawaza mabingwa wenzetu hatuna muda wa kuwawazia Simba ambao hawana madhara yoyote.
Al Ahly nimewatolea mfano tu maana tumekua tukipangwa na waarabu mara nyingi hadi imekua kawaida sasa.
Lakini mabingwa au club kubwa zipo nyingi tu kama T.P Mazhembe nk.
 
Heri yako mkuu uliyelitambua hilo, vijana wa dotcom hawa wasiojua soka furaha yao kombe bila kumfunga mtani.

Unakumbuka maneno aliyoyaongea wenger kuhusu soka la Chelsea...!?

Nadhani pia unajua Morinho alimjibu vipi...?

Morinho akuajiliwa ili amfunge Liverpool pekee..!

KIKOMBE NDIO MPANGO MZIMA.
 
grafani11 tunasubiria tupe takwimu yanga na simba wamekutana mara ngapi na nani kafungwa mara nyingi.

Umeona hilo ndilo la muhimu zaidi kuliko kujibu hoja yangu ya kama kweli wewe unaujua vyema utani wa jadi kati ya kuchukua ubingwa na kumfunga pia mtani wako bao 5 na kuchapwa miaka mitano mfululizo na kuchukua kikombe ipii ina raha zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Kama hili ni Kopo basi ulilolipata kule zenji kitakuwa KIZIBO.!
Ndio unaibuka toka kwenye mafuriko jangwani umeshavua kambale wangapi? Kopo litahifadhiwa wapi na Slum imejaa maji.
Hivi kile kiwanja mlipewa bure na kwanini mlikubali?
 
Du nimeikosa hiyo chance ya kuungana............ili tushangilie. Nitumie namba yako PM nikutumie walau hela ya DOMPO

Hahahahaaa! Wallah nimecheka sana.Kuungana huko siko ulikodhani wewe bwana!
Thanks for offering me, I appreciate that.
 
Back
Top Bottom