Tofauti ni kubwa. Yaani mnawaza itakuwaje kama mkipangwa na Al Ahly? Kwa nini msiwaze namna gani tutaweza kucheza katika makundi ya ligi ya mabingwa! Yanga inapata nafasi mara kwa mara, lakini inawaza mechi moja moja (za Waarabu), Simba inapata nafasi mara chache lakini hizo hizo chache imeshacheza robo fainali, nusu fainali na fainali! Endeleeni kuiwaza Al Ahly, ila pia msisahau kuiwaza Simba!... wenzenu tunawaza itakuwaje kama tukipanga na Al-Ahly tena.
Heri yako mkuu uliyelitambua hilo, vijana wa dotcom hawa wasiojua soka furaha yao kombe bila kumfunga mtani.
Yanga mabingwa,,,,,,,,,hongereni
Hii mvua wale wa mabondeni hawatasalimika.
Kama walivyoikimbia Yanga!haki kina okwi wao watawakimbia sasa, manake hawaonekani kimataifa
Hata hii wanayocheza Yanga na Azam, ni mechi ya mchangani! Wote wawili walishatolewa kwenye mashindano ya kimataifa kwenye raundi ya awali (AZAM) na raundi ya kwanza (YANGA). Wanajipanga kila mwaka!
Mvua imezuia mashabiki wa simba kutoka hivyo hawana budi kushuhudia Yanga wakikabidhiwa kombe lao. Uwanjani ni vituko wachezaji wa Yanga wamevaa jezi za Azam na Azam wamevaa jezi za Yanga. Hadi rahaaaaaaaa
Sijui hilo kopo lao wataliweka wapi maana maji na kambale wameshaingia mpaka ofisini kwa Jeny muro.
Yanga mabingwa,,,,,,,,,hongereni
Tofauti ni kubwa. Yaani mnawaza itakuwaje kama mkipangwa na Al Ahly? Kwa nini msiwaze namna gani tutaweza kucheza katika makundi ya ligi ya mabingwa! Yanga inapata nafasi mara kwa mara, lakini inawaza mechi moja moja (za Waarabu), Simba inapata nafasi mara chache lakini hizo hizo chache imeshacheza robo fainali, nusu fainali na fainali! Endeleeni kuiwaza Al Ahly, ila pia msisahau kuiwaza Simba!
Heri yako mkuu uliyelitambua hilo, vijana wa dotcom hawa wasiojua soka furaha yao kombe bila kumfunga mtani.
Safi sana.Sina jirani Azam leo tungeungana tushangilie pia.
grafani11 tunasubiria tupe takwimu yanga na simba wamekutana mara ngapi na nani kafungwa mara nyingi.
Ndio unaibuka toka kwenye mafuriko jangwani umeshavua kambale wangapi? Kopo litahifadhiwa wapi na Slum imejaa maji.Kama hili ni Kopo basi ulilolipata kule zenji kitakuwa KIZIBO.!
Du nimeikosa hiyo chance ya kuungana............ili tushangilie. Nitumie namba yako PM nikutumie walau hela ya DOMPO