Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Jirani yangu ni simba damu kaja eti ili tusaidiane kuishangilia yanga nkamwambia mie Leo hata cwapend na nataman wafungwe tu. Basi kasepa

Ha ha hahahah Shark umenichekesha wewe, kama namuona jirani, alivyorudi kwake mdunchuu ha ha hahahaa. Mbaya zaidi Azam kashinda angalia tu msiuwe ujirani wenu, maana Yanga ni shida ya mji...
 
Last edited by a moderator:
Umeona hilo ndilo la muhimu zaidi kuliko kujibu hoja yangu ya kama kweli wewe unaujua vyema utani wa jadi kati ya kuchukua ubingwa na kumfunga pia mtani wako bao 5 na kuchapwa miaka mitano mfululizo na kuchukua kikombe ipii ina raha zaidi?

Swala si kumfunga mtani. Wewe leta takwimu hapa Yanga na simba wamecheza mara ngapi na nani kafungwa mara nyingi?

Kwa TAARIFA YAKO NA UACHE UPOPOMPO SISI YANGA NDIYO TULITAKIWA TUJISIFIE KWA KUIFUNGA SIMBA MARA NYINGI.
 
kwa mambo haya tutaendelea kuwa wasindikizaji.Yanga wameuza mechi ati mtani aendelee kubaki hukooo.Mpira sayansi na si rushwa,timu gani la kubebwa na marefa?wapi mnaliweka soka la Tz?Ndiyo maana munafungwa mahali hakuna kuhonga.Hivi bado hujui ni kwanini timu ya taifa wengi hawachaguliwi?mnalipa marefa na timu ndogo kuikamia simba but tutakapo pata nafasi tutalinyanyua soka la tanzania.God bless simba timu ya vipaji.
 
Ha ha hahahah Shark umenichekesha wewe, kama namuona jirani, alivyorudi kwake mdunchuu ha ha hahahaa. Mbaya zaidi Azam kashinda angalia tu msiuwe ujirani wenu, maana Yanga ni shida ya mji...

Alivyotoa macho utazan kabet vile daaah ila na mvua hii nampelekea chapa nyagi kuondolea uvivu
 
Last edited by a moderator:
Hii yanga mbovu hii mechi hawajanunua wamekimbizwaje

Siku zote yeboyebo timu zenye uchumi mkubwa anashindwa kuzinunua anaambulia kichapo. Wasifiche udhaifu wao kwa mechi hii wangekuwa na uwezo mechi ya kwanza wangeifunga Azam.
 
Siku zote yeboyebo timu zenye uchumi mkubwa anashindwa kuzinunua anaambulia kichapo. Wasifiche udhaifu wao kwa mechi hii wangekuwa na uwezo mechi ya kwanza wangeifunga Azam.

Leta takwimu Yanga na simba wamekutana mara ngapi na nani kafungwa mara nyingi?
 
Siku zote yeboyebo timu zenye uchumi mkubwa anashindwa kuzinunua anaambulia kichapo. Wasifiche udhaifu wao kwa mechi hii wangekuwa na uwezo mechi ya kwanza wangeifunga Azam.

Hakuna anayependa kufungwa eti anakomoa,hawana uwezo wa kuwafunga azam
 
Mdogo wangu Danny greeny nadhani unajua kusoma na kuandika utapata takwimu hapo. Ukitaka hata hii miaka minne mfululizo ya kutundikwa bao 5-0, 1-1, 3-3, 3-1, 2-0, 1-0 inapatikana hapo.
Takwimu nyingine tutaziongeza tukikutana tena.
 
Attachments

  • 1430930690051.jpg
    43.8 KB · Views: 282
  • 1430930745369.jpg
    47.9 KB · Views: 264
  • 1430930793974.jpg
    46.8 KB · Views: 254
Last edited by a moderator:

Unajua maana ya vipaji wewe? Kuna wanaotoa hongo katika mpira hapa duniani kama friends of Simba (mabilionea uchwara) ? Mtacheza mchangani/vumbini mpaka muote sugu! Leo mlitegemea kubebwa! Kupata nafasi ya tatu unatoa uharo hapa jf! Mmebebwa na tff kwa kuchezesha watu wenye kadi elfu za njano, lakini haijasaidia. Mlitakiwa mteremshwe daraja!
 
Yanga bingwa, SIMBA jipangeni.

Sie wana YANGA wenyewe wala hatuipendi AZAM. ILA UJINGA WENU WA KUFANYA COALITION ISI NA MAANA NA AZAM
 
Nauliza tu. Nani kachukua ubingwa mara nyingi zaidi Tanzania? Nani kamfunga mwenzake mara nyingi zaidi kati ya Yanga na mikia?
 
Mdogo wangu Danny greeny nadhani unajua kusoma na kuandika utapata takwimu hapo. Ukitaka hata hii miaka minne mfululizo ya kutundikwa bao 5-0, 1-1, 3-3, 3-1, 2-0, 1-0 inapatikana hapo.
Takwimu nyingine tutaziongeza tukikutana tena.

😂😂😂😂😂😂😥😢😢😹😷
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana soka letu haliwezi kuendelea

Hujui kama chama cha njano na kijani kilichoshindwa kuleta maendeleo nchi hii kina uhusiano wa kindugu kabisa na timu dhaifu ya yeboyebo. Unategemea uwakilishi gani wenye tija kimataifa wakati kushinda kwenyewe mpaka wapange matokeo kama leo.
Nchi itafika fainali za CAF na kuchukua kombe iwapo tu TFF ya mshabiki mkubwa wa Yanga J. Malinzi itaacha kuibeba Yanga kupitia marefa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…