OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.
.
Ligi hiyo iliyotarajiwa kurudi Machi nne baada ya mapumziko ya kupisha michuano ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (Wafcon 2026) Morocco, sasa itarudi Machi 12 na timu zote zitacheza siku hiyo.
Soma Pia:Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Timu zilizoko nafasi nne za juu kwenye ligi hiyo, ndiyo zinazoshiriki michuano hiyo itakayopigwa kwa siku tatu, Machi 4 hadi 7 ambazo ni Simba Queens, JKT Queens, Yanga Princess na Fountain Gate Princess.
.
Mchezo wa kwanza wa nusu fainali utazikutanisha Simba na JKT, huku nusu fainali ya pili Yanga ita- kutana na Fountain Gate Princess.
Mkuu wa Mkoa Paul Makonda, akiwasili uwanja wa Sheikh Amri Abeid kukagua maandalizi ya mwisho ya mashindano ya Samia Super Women Cup yatakayoanza siku ya kesho tarehe 4 ya mwezi wa tatu
My Take
The governance of this nation is damaged beyond repair