Mpira wa afrika ni mgumu mno watu wanakaba mpaka kivuli, walimkaba Sarah mpaka akawa kama ngasa Sedio mane amekabwa amekuwa kama Ambokile.
Kule wanakaba kwa akili uku Afrika ni nginja ngija wewe ubaki mpira uende.Kwahiyo England huyo Sarah huwaga akabwi? Kuna mabeki mzee achana na mabeki wenu wa taifa star's wanaokabia macho
Nimekwambia hasa timu Za Afrika magharibi zenye wachezaji wengi kwenye hzo ligi ndio wanaocheza mpira mbovu..timu za africa zimeonyesha kiwango kizuri zinacheza mpira wa kuvutia mno kuliko hata timu za ulaya, madagasca wanapiga mpira kupita England
Na CCM Bashite Stars wanaupiga mwingi kuliko Braziltimu za africa zimeonyesha kiwango kizuri zinacheza mpira wa kuvutia mno kuliko hata timu za ulaya, madagasca wanapiga mpira kupita England
timu za africa zimeonyesha kiwango kizuri zinacheza mpira wa kuvutia mno kuliko hata timu za ulaya, madagasca wanapiga mpira kupita England
ππππNa CCM Bashite Stars wanaupiga mwingi kuliko Brazil
MBONA HUJAMTUKANA MKUUπππTangia nijiunge jamiiforums sijawahi kutukana zaidi ya kurudishia napotukananwa ila kwa hoja zako ni Kama unanitafutia ban wewe umezoea kuangalia epl ndio maana umeaminushwa ligi za italy na France ni mbovu angslia kina fransie keesy halafu ongea upuuzi wako
Labda England ya kwenu ukotimu za africa zimeonyesha kiwango kizuri zinacheza mpira wa kuvutia mno kuliko hata timu za ulaya, madagasca wanapiga mpira kupita England
Bora umemwambia ukweli....kwa hizi timu zikiendelea hivi nakwambia world Cup tutakuwa tunaishia makundi..mpira mbovu..mechi moja moja ndio zinavutia..wachezaji wanaocheza ligi Za Afrika wanaupigwa mwingi kuliko hao walioko ufaransa na huko italia..HUO NDIO UKWELI..Labda England ya kwenu uko
Mkuu embu tuorodhoshee hao wachezaji wanaocheza ligi ya Italia na Ufaransa walioonesha viwango vibovu AFCON kisha tuorodhoshee na wachezaji wanaocheza ligi ya Uingereza na zinginezo wakionesha viwango bora kuliko hao wa ligi ya Ufaransa na ItaliaBora umemwambia ukweli....kwa hizi timu zikiendelea hivi nakwambia world Cup tutakuwa tunaishia makundi..mpira mbovu..mechi moja moja ndio zinavutia..wachezaji wanaocheza ligi Za Afrika wanaupigwa mwingi kuliko hao walioko ufaransa na huko italia..HUO NDIO UKWELI..