Ligi mbovu ya Ufaransa na Italia ndio imepelekea mpira mbovu AFCON..

Ligi mbovu ya Ufaransa na Italia ndio imepelekea mpira mbovu AFCON..

ryan riz

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
423
Reaction score
683
Inashangaza sana tena zaidi ya sana kuona timu Za wachezaji wanaokipiga timu zinazoshiriki ligi hizo mbili kuwa na kiwango kibovu mno na kufanya mashindano yasivutie kabsaa.

Hasa athari hii imeonekanika Hasa kwa timu Za Afrika magharibi
Mengine mtaongezea wenyewe
 
Kwahiyo England huyo Sarah huwaga akabwi? Kuna mabeki mzee achana na mabeki wenu wa taifa star's wanaokabia macho
Mpira wa afrika ni mgumu mno watu wanakaba mpaka kivuli, walimkaba Sarah mpaka akawa kama ngasa Sedio mane amekabwa amekuwa kama Ambokile.
 
Kwahiyo England huyo Sarah huwaga akabwi? Kuna mabeki mzee achana na mabeki wenu wa taifa star's wanaokabia macho
Kule wanakaba kwa akili uku Afrika ni nginja ngija wewe ubaki mpira uende.
 
timu za africa zimeonyesha kiwango kizuri zinacheza mpira wa kuvutia mno kuliko hata timu za ulaya, madagasca wanapiga mpira kupita England
Nimekwambia hasa timu Za Afrika magharibi zenye wachezaji wengi kwenye hzo ligi ndio wanaocheza mpira mbovu..
 
mleta maada utakuwa hujui kandanda a.k.a mpira, kabumbu…………….
 
mleta maada utakuwa hujui kandanda a.k.a mpira, kabumbu…………….
Naujua na pia naucheza...ukweli uko wazi ila km unabet sikulaumu..maana nyie mmevamia fani ili kupata Pesa Za haraka
 
Tangia nijiunge jamiiforums sijawahi kutukana zaidi ya kurudishia napotukananwa ila kwa hoja zako ni Kama unanitafutia ban wewe umezoea kuangalia epl ndio maana umeaminushwa ligi za italy na France ni mbovu angslia kina fransie keesy halafu ongea upuuzi wako
 
MBONA HUJAMTUKANA MKUU😂😂😂
 
AFRICA TUNACHEZA MPIRA MGUMU JEZI TUNAZOVAA HAZIVUTII NI BANA MISULI
 
Labda England ya kwenu uko
Bora umemwambia ukweli....kwa hizi timu zikiendelea hivi nakwambia world Cup tutakuwa tunaishia makundi..mpira mbovu..mechi moja moja ndio zinavutia..wachezaji wanaocheza ligi Za Afrika wanaupigwa mwingi kuliko hao walioko ufaransa na huko italia..HUO NDIO UKWELI..
 
Mkuu embu tuorodhoshee hao wachezaji wanaocheza ligi ya Italia na Ufaransa walioonesha viwango vibovu AFCON kisha tuorodhoshee na wachezaji wanaocheza ligi ya Uingereza na zinginezo wakionesha viwango bora kuliko hao wa ligi ya Ufaransa na Italia
 
Write your reply...
hapa hakuna fact ya maana
wachezaji wa ligue 1 na serie A Wamefanya Kwa Takwimu Zipi?
Wataje Basi Hapa.
Kwanza Wachezaji Wanaocheza Epl Ndo Wamezingua.
Mane Kiwango Anachoonyesha Sio Kama Cha Kule Liver.
Salah Ndo Kabisa Tumeona.
Bora Yule Gueye.
Umemuona Ismail Sarr? Anacheza Ligue 1. Muangalie Vizuri. Frank Kessy?
Mpira Wa Africa Unakabwa Mtu. Ulaya Wanakaba Njia.
 
Back
Top Bottom