Mothiba-South Africa, N. Pepe- Ivory Coast... Hawa ni mastaa wanaokimbiza kwa ufungaji Ufaransa League 1 hapa wanacheza uchafu maforward hawajafunga hata bao mojaMkuu embu tuorodhoshee hao wachezaji wanaocheza ligi ya Italia na Ufaransa walioonesha viwango vibovu AFCON kisha tuorodhoshee na wachezaji wanaocheza ligi ya Uingereza na zinginezo wakionesha viwango bora kuliko hao wa ligi ya Ufaransa na Italia
Bora umemwambia ukweli....kwa hizi timu zikiendelea hivi nakwambia world Cup tutakuwa tunaishia makundi..mpira mbovu..mechi moja moja ndio zinavutia..wachezaji wanaocheza ligi Za Afrika wanaupigwa mwingi kuliko hao walioko ufaransa na huko italia..HUO NDIO UKWELI..
Mothiba-South Africa, N. Pepe- Ivory Coast... Hawa ni mastaa wanaokimbiza kwa ufungaji Ufaransa League 1 hapa wanacheza uchafu maforward hawajafunga hata bao moja
mpira wa afrika ni mgumu wachezaji wanakaba sana kiasi cha wapinzani kushindwa kufunga, halafu wakati huo huo hakuna timu yoyote iliyowahi kufanya makubwa kwenye kombe la dunia. Tunazidiwa hata na Asia wanaocheza soka la kufunguka wamewahi kufikisha timu nusu fainali.Mpira wa afrika ni mgumu mno watu wanakaba mpaka kivuli, walimkaba Sarah mpaka akawa kama ngasa Sedio mane amekabwa amekuwa kama Ambokile.
Umeongea ukweli mtupu..tena utakuwa umecheza mpira..achana na hawa watu WA kubeti wao ilimradi timu aliyobet ishinde basi....!yaani sawa na shuleni kilaza kuwaongoza vilaza wenzake anaonekana anaakili nyingi shuleni kwao...kiufupi mpira wa mipango angalau Algeria anauonesha kidogo..hawa wengine wanashinda kiajabu ajabu tu...mpira wa afrika ni mgumu wachezaji wanakaba sana kiasi cha wapinzani kushindwa kufunga, halafu wakati huo huo hakuna timu yoyote iliyowahi kufanya makubwa kwenye kombe la dunia. Tunazidiwa hata na Asia wanaocheza soka la kufunguka wamewahi kufikisha timu nusu fainali.
Kiufupi soka la afrika bado ni la ovyo sana, tunacheza mpira wa kunyang'ana nyang'ana sana haukai miguuni na hata kufanya build up ya magoli hatujui ndio maana magoli mengi yanafungwa kutokana na mistakes za wapinzani na sio uwezo halisi wa kupika goli kwa timu husika.
Afrika soka letu bado ndio maana hata wachezaji wetu tunao waona wakifanya vizuri nje ya afrika wakija huku kucheza pamoja na wenzao wanaonekana hawajui tu sababu wanacheza ndani ya set up mbovu.
mwanangu wewe una jicho la mpira mzee baba, yaani katika timu zote zenye soka la mipango sijaona kama Algeria, jamaa wanajua balaha. Yaani kama wana shambulia unaona kabisa wachezaji wanavyochukua vyumba kwa kufanya interchanging na kuachiana space ya mtu kupiga mpira uende wavuni sio uishie kwenye miguu ya watu. Na hata kwenye defense ni hivyo hivyo wanafanya marking ya akili sana hakuna free header za kizembe na kupata nafasi ya one to one huipati, na ndio timu pekee ambayo bado haijaruhusu goli mpaka hatua hii ilipofikia.Umeongea ukweli mtupu..tena utakuwa umecheza mpira..achana na hawa watu WA kubeti wao ilimradi timu aliyobet ishinde basi....!yaani sawa na shuleni kilaza kuwaongoza vilaza wenzake anaonekana anaakili nyingi shuleni kwao...kiufupi mpira wa mipango angalau Algeria anauonesha kidogo..hawa wengine wanashinda kiajabu ajabu tu...
Vipi waliopo england wao wanaupigaje?Bora umemwambia ukweli....kwa hizi timu zikiendelea hivi nakwambia world Cup tutakuwa tunaishia makundi..mpira mbovu..mechi moja moja ndio zinavutia..wachezaji wanaocheza ligi Za Afrika wanaupigwa mwingi kuliko hao walioko ufaransa na huko italia..HUO NDIO UKWELI..
"Sarah" anachezea nchi gani AFCON. Sikujua AFCON ni wanawake wanacheza. Ahsante kwa kunitoa mchanga wa machoMpira wa afrika ni mgumu mno watu wanakaba mpaka kivuli, walimkaba Sarah mpaka akawa kama ngasa Sedio mane amekabwa amekuwa kama Ambokile.
Haaaa"Sarah" anachezea nchi gani AFCON. Sikujua AFCON ni wanawake wanacheza. Ahsante kwa kunitoa mchanga wa macho