wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Pazia ligi kuu msimu wa 2019/20 ndio unaanza
Sasa tutawaona akina kambuzi wavuruga ligi na watoa hogo kwa timu pinzani na waamuzi wakipewa maagizo toka tff kuikwamisha timu Fulani isishinde kwa ajiri ya timu fulani
Kiujumla aliowapigania akina karia kuwa viongozi wa tff tunamjua na allah amlani sana kwasababu wanaharibu utamu wa ligi
Bingwa aliyepita na atakayekuja ana hela za kutosha, ndio maana husikii kelele za kufuatilia zawadi ya hela, zaidi ya kutambuliwa. Wale wenye shida na hela, ndio hao hao wasio na uwezo wa kuchukua zawadi mbalimbali, kwa hivyo hawana ujasiri wa kuulizia zawadi zitakuwa kitu ganiNaomba kuuliza. Hivi Bingwa wa TPL msimu uliopita amepewa Zawadi gani na TFF?. Pia mbona sijasikia Tuzo za wachezaji bora zikitolewa?. Kiungo bora alikuwa nani? Kipa bora, Kocha bora?. Tunaanzaje tena ligi kimya kimya!. Bila hata ya kujua bingwa atapata nini?
Samba msijivune hamna uwekezaji pale hizo ni ngonjera tu wakati utasema na kuwaadaa mbumbumbu fc waonekane wamewekeza hzo pesa za mtu mmoja tumeziona kwa yanga na matokeo yake tumeyaona sasa na nyinyi badala ya kuruka Majivu ya yanga mnarudia kukanya moto time will tellTuweke kumbukumbu hali ilikuwaje msimu ulioisha:
View attachment 1188164
Bingwa alipata kombe.. hizo tuzo nyingine hazipo kwa sababu hakukuwa na mdhamini hata bingwa ela hakupataNaomba kuuliza. Hivi Bingwa wa TPL msimu uliopita amepewa Zawadi gani na TFF?. Pia mbona sijasikia Tuzo za wachezaji bora zikitolewa?. Kiungo bora alikuwa nani? Kipa bora, Kocha bora?. Tunaanzaje tena ligi kimya kimya!. Bila hata ya kujua bingwa atapata nini?
Yanga mmewahi kuwa na mtu mwenye hisa hapo klabuni kwenu.?... Kwanza usiturudishe nyuma hapa tunazungumzia msimu mpya wa ligi sio mwenyekiti wenu.Samba msijivune hamna uwekezaji pale hizo ni ngonjera tu wakati utasema na kuwaadaa mbumbumbu fc waonekane wamewekeza hzo pesa za mtu mmoja tumeziona kwa yanga na matokeo yake tumeyaona sasa na nyinyi badala ya kuruka Majivu ya yanga mnarudia kukanya moto time will tell
Wachezaji bora na Kocha bora wa kila mwezi tayari walishapewa zawadi zao za Ving'amuzi vya Azam Tv. Bingwa amepewa kombe tu linamtosha.Naomba kuuliza. Hivi Bingwa wa TPL msimu uliopita amepewa Zawadi gani na TFF?. Pia mbona sijasikia Tuzo za wachezaji bora zikitolewa?. Kiungo bora alikuwa nani? Kipa bora, Kocha bora?. Tunaanzaje tena ligi kimya kimya!. Bila hata ya kujua bingwa atapata nini?
Bado kutangazwa tu.. ila amepatikanaMdhamini vip, keshapatikana?
Yanga haijawahi kuwa na muwekezaji. Hata katiba ya Yanga tu hairuhusu wala haitaji uwekezaji. Kwa Tanzania, klabu yenye kuendeshwa rasmi na kisheria katika mfumo wa uwekezaji ni Simba tuSamba msijivune hamna uwekezaji pale hizo ni ngonjera tu wakati utasema na kuwaadaa mbumbumbu fc waonekane wamewekeza hzo pesa za mtu mmoja tumeziona kwa yanga na matokeo yake tumeyaona sasa na nyinyi badala ya kuruka Majivu ya yanga mnarudia kukanya moto time will tell