Ligi ya bara ndio inaanza sasa tuanze kuona makidamakida

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Pazia ligi kuu msimu wa 2019/20 ndio unaanza
Sasa tutawaona akina kambuzi wavuruga ligi na watoa hogo kwa timu pinzani na waamuzi wakipewa maagizo toka tff kuikwamisha timu Fulani isishinde kwa ajiri ya timu fulani
Kiujumla aliowapigania akina karia kuwa viongozi wa tff tunamjua na allah amlani sana kwasababu wanajaribu utamu wa ligi
 
Pazia ligi kuu msimu wa 2019/20 ndio unaanza
Sasa tutawaona akina kambuzi wavuruga ligi na watoa hogo kwa timu pinzani na waamuzi wakipewa maagizo toka tff kuikwamisha timu Fulani isishinde kwa ajiri ya timu fulani
Kiujumla aliowapigania akina karia kuwa viongozi wa tff tunamjua na allah amlani sana kwasababu wanaharibu utamu wa ligi
 
Naomba kuuliza. Hivi Bingwa wa TPL msimu uliopita amepewa Zawadi gani na TFF?. Pia mbona sijasikia Tuzo za wachezaji bora zikitolewa?. Kiungo bora alikuwa nani? Kipa bora, Kocha bora?. Tunaanzaje tena ligi kimya kimya!. Bila hata ya kujua bingwa atapata nini?
 
Bingwa aliyepita na atakayekuja ana hela za kutosha, ndio maana husikii kelele za kufuatilia zawadi ya hela, zaidi ya kutambuliwa. Wale wenye shida na hela, ndio hao hao wasio na uwezo wa kuchukua zawadi mbalimbali, kwa hivyo hawana ujasiri wa kuulizia zawadi zitakuwa kitu gani
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tuweke kumbukumbu hali ilikuwaje msimu ulioisha:

1566547229456.png

Naomba kuuliza. Hivi Bingwa wa TPL msimu uliopita amepewa Zawadi gani na TFF?. Pia mbona sijasikia Tuzo za wachezaji bora zikitolewa?. Kiungo bora alikuwa nani? Kipa bora, Kocha bora?. Tunaanzaje tena ligi kimya kimya!. Bila hata ya kujua bingwa atapata nini?
Bingwa alipata kombe.. hizo tuzo nyingine hazipo kwa sababu hakukuwa na mdhamini hata bingwa ela hakupata
 
Samba msijivune hamna uwekezaji pale hizo ni ngonjera tu wakati utasema na kuwaadaa mbumbumbu fc waonekane wamewekeza hzo pesa za mtu mmoja tumeziona kwa yanga na matokeo yake tumeyaona sasa na nyinyi badala ya kuruka Majivu ya yanga mnarudia kukanya moto time will tell
Yanga mmewahi kuwa na mtu mwenye hisa hapo klabuni kwenu.?... Kwanza usiturudishe nyuma hapa tunazungumzia msimu mpya wa ligi sio mwenyekiti wenu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Allah amekusikia kilio chako... ngoja kwanza Allah amalizane na Malinzi ndio amrudie W.Karia.
 
Naomba kuuliza. Hivi Bingwa wa TPL msimu uliopita amepewa Zawadi gani na TFF?. Pia mbona sijasikia Tuzo za wachezaji bora zikitolewa?. Kiungo bora alikuwa nani? Kipa bora, Kocha bora?. Tunaanzaje tena ligi kimya kimya!. Bila hata ya kujua bingwa atapata nini?
Wachezaji bora na Kocha bora wa kila mwezi tayari walishapewa zawadi zao za Ving'amuzi vya Azam Tv. Bingwa amepewa kombe tu linamtosha.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Samba msijivune hamna uwekezaji pale hizo ni ngonjera tu wakati utasema na kuwaadaa mbumbumbu fc waonekane wamewekeza hzo pesa za mtu mmoja tumeziona kwa yanga na matokeo yake tumeyaona sasa na nyinyi badala ya kuruka Majivu ya yanga mnarudia kukanya moto time will tell
Yanga haijawahi kuwa na muwekezaji. Hata katiba ya Yanga tu hairuhusu wala haitaji uwekezaji. Kwa Tanzania, klabu yenye kuendeshwa rasmi na kisheria katika mfumo wa uwekezaji ni Simba tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom