Ligi ya Europa: Mbivu na mbichi za fainali kujulikana leo

Ligi ya Europa: Mbivu na mbichi za fainali kujulikana leo

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Joined
Sep 11, 2020
Posts
69
Reaction score
105
Screenshot_20210506-105854_1.jpg

Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal ikiikaribisha Villarreal

Ili Roma kutinga fainali inatakiwa kushinda goli 4-0

Kwingineko Arsenal inahitaji ushindi wa goli 1-0 ili kutinga fainali
 
Kitu kimoja nna uhakika nacho...... waingereza wanaingiza timu 4 kwenye Fainali za ULAYA
 
Back
Top Bottom