Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal ikiikaribisha Villarreal
Ili Roma kutinga fainali inatakiwa kushinda goli 4-0
Kwingineko Arsenal inahitaji ushindi wa goli 1-0 ili kutinga fainali