LIGI YA ISRAEL HAINA X MASS

beco

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,339
Reaction score
783
Nchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel
Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
 
Nchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel
Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
Sio hizo nchi tatu tu, bali zipo nyingi ambazo kesho kunakuwa na ratiba za michezo kama zilivyopangwa. ulivyotaja hizo nchi 3 ulukuwa na swali tofauti na ulilouliza.

Wayahudi sio wakristo kama zilivo nchi nyingine za kiarabu ndio maana sio sikukuu kwako.
 
Wakristo Israel ni chini ya 5% na majority ya hao 5% ni Waarabu wenye asili ya Palestine... so, ni kawaida popote pale.
 
Nisikukuu ya wafuasi wa Paulo na injili ya wasiotahiriwa na mila za kirumi
 
Reactions: OTG
Wanasherekea sikukuu kama kawaida, Xmass haiwezi kuzuia kusiwe na ligi.
Ligi ni burudani pia hufaa kwa watu wenye furaha. Ila mleta mada alitaka kutufundisha waiziraeli sio wakristo hata kidogo ila wakristo wakiona maneno kama. Israel. Jordan. Yesu. hekalu. Yerusalem. Wanahisi ni vyakwao kumbe wao ni wafuasi wa warumi na Roma ndo makao makuu na asili ya ukristo
 
Me nashangaa mi Africans tuko brainwashed kua wa Israel wote ni Christians wakati Wayahudi ndio walimtesa Yesu
Ukisema mi Africans tuko.. unanijumuisha na Mimi, hapana, mimi nilijua tangu nikiwa Sunday school kuwa Wa ebrania, Wayahudi, siyo wafuasi wa kristo. Ingawa wapo wa Israel Waislam na Wakristo pia wapo.
 
Ha ha wewe haupo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…