Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hizo nchi tatu tu, bali zipo nyingi ambazo kesho kunakuwa na ratiba za michezo kama zilivyopangwa. ulivyotaja hizo nchi 3 ulukuwa na swali tofauti na ulilouliza.Nchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel
Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
Ukiangalia hapo kwny list ya mechi nchi zote hizo ni za kiarabu ambazo kwao hakuna xmas je vp TAIFA LA YESU?
Yesu hakuzaliwa 25/12
Me nashangaa mi Africans tuko brainwashed kua wa Israel wote ni Christians wakati Wayahudi ndio walimtesa YesuWayahudi sio wakristo kama zilivo nchi nyingine za kiarabu ndio maana sio sikukuu kwako.
Me nashangaa mi Africans tuko brainwashed kua wa Israel wote ni Christians wakati Wayahudi ndio walimtesa Yesu
Wanajipendekeza sana Wakristo wa Kiafrika kulitukuza Taifa la IsraelMe nashangaa mi Africans tuko brainwashed kua wa Israel wote ni Christians wakati Wayahudi ndio walimtesa Yesu
Wayahud bado wanamsbr masiha wao aje awakomboeUkiangalia hapo kwny list ya mechi nchi zote hizo ni za kiarabu ambazo kwao hakuna xmas je vp TAIFA LA YESU?
Ligi ni burudani pia hufaa kwa watu wenye furaha. Ila mleta mada alitaka kutufundisha waiziraeli sio wakristo hata kidogo ila wakristo wakiona maneno kama. Israel. Jordan. Yesu. hekalu. Yerusalem. Wanahisi ni vyakwao kumbe wao ni wafuasi wa warumi na Roma ndo makao makuu na asili ya ukristoWanasherekea sikukuu kama kawaida, Xmass haiwezi kuzuia kusiwe na ligi.
Ukisema mi Africans tuko.. unanijumuisha na Mimi, hapana, mimi nilijua tangu nikiwa Sunday school kuwa Wa ebrania, Wayahudi, siyo wafuasi wa kristo. Ingawa wapo wa Israel Waislam na Wakristo pia wapo.Me nashangaa mi Africans tuko brainwashed kua wa Israel wote ni Christians wakati Wayahudi ndio walimtesa Yesu
Ha ha wewe haupo kakaUkisema mi Africans tuko.. unanijumuisha na Mimi, hapana, mimi nilijua tangu nikiwa Sunday school kuwa Wa ebrania, Wayahudi, siyo wafuasi wa kristo. Ingawa wapo wa Israel Waislam na Wakristo pia wapo.