Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Karibuni kwa mpambano huu wa kukata na shoka kati ya Simba vs As Vita Club utakaoanza muda mchache kutoka sasa....
Saa 1:00 usiku (Kwa mkapa)
Timu zote mbili zinahitaji matokeo ya ushindi ili ziweze kusonga mbele kwa hatua ya robo fainali
Msimamo wa kundi hili hadi sasa
1. JS Saoura Point 8
2. Al Ahly Point 7
3. As vita club Point 7
4. Simba point 6
Takwimu za kipindi cha kwanzaView attachment 1047135
Takwimu za Full Time
View attachment 1047191
====
Klabu Bingwa Afrika: Klabu ya As Vita inapata goli la kuongoza dhidi ya Klabu ya #Simba katika mchezo unaochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar
- Goli limefungwa na Francy Kazadi mnamo dakika ya 13
- Anayeshinda katika mechi hii anasonga mbele katika hatua inayofuata
-----
Klabu Bingwa Afrika: Klabu ya #SimbaSC inasawazisha goli dhidi ya Klabu ya AS Vita kutoka Congo ndani ya dimba la Taifa jijini Dar
- Simba inapata goli la kusawazisha kupitia kwa Mohamed Hussein katika dakika ya 36
Simba SC 1 - 1 AS Vita
------
Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania inapata goli la pili dhidi ya AS Vita kutoka Congo
- Goli linafungwa na Clatous Chama maarufu ‘Triple C’ katika dakika ya 90
- Ikumbukwe anayeshinda anafuzu hatua inayofuata
Simba SC 2 - 1 AS Vita
Msimamo wa kundi D
Al Ahly Points 10
Simba Points 9
Saoura Points 8
As vita club points 7
Al Ahly na Simba zinaenda robo fainali ya ligi ya mabingwa Africa 2019
Timu zilizofuzu hatua ya Robo fainali ni hizi hapa
Esperance Tunis ( TUNISIA)
Constantine ( ALGERIA)
Mazembe TP (CONGO DRC)
Horoya ( GUINEA)
Wydad Casablanca ( MOROCCO)
Al Ahly ( EGYPT)
Simba ( TANZANIA)
Mamelodi Sundowns ( SOUTH AFRICA)View attachment 1047220