Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa stars walituunganisha pamoja sasa iv kila mtu apambane Na timu yakeSalama kabisa Mtani. Umemisika.
Mambo niaje?
Safi sana.
Naona unajisahaulisha kauli ya Muheshimiwa. 😎😎😎Taifa stars walituunganisha pamoja sasa iv kila mtu apambane Na timu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hio haitatokea mpaka dunia inaisha maan ndo maisha tuliyoyachanguaNaona unajisahaulisha kauli ya Muheshimiwa. [emoji41][emoji41][emoji41]
Na kweli usemalo. Inawezekana tukawa wamoja ikicheza Stars tu ila nje ya hapo ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano.Hahahah hio haitatokea mpaka dunia inaisha maan ndo maisha tuliyoyachangua
Sent using Jamii Forums mobile app
YapNa kweli usemalo. Inawezekana tukawa wamoja ikicheza Stars tu ila nje ya hapo ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Ni kweli ...uko sahihi...lakini hiki ni kipindi cha mpito...kwani wewe unadhani itapita miaka mitatu bila kibao kugeuka?? itafika muda Yanga itaifunga Simba....Mwaka 1981 Yanga iliifunga Simba baada ya kugaragazwa kwa karibu miaka mitano kikiwemo kipigo cha goli 6-0 cha mwaka 1977 kilichotokana na Yanga kufukuza wachezaji karibu wote 25 na kuamua kuanza upya...goli la Yanga la 1981 lilifungwa na Juma Mkambi kwa kona ya Amasha...kabla ya hapo Simba nayo ilikuwa na kipindi kigumu kuanzia mwaka 1968 hadi mwaka 1973 pale ilipojikomboa kwa goli la Willy Mwaijibe...Yanga kwa sasa inajijenga upya...haina kikosi kizuri sana...inashinda mechi zake kutokana na wachezaji kupigwa saikolojia na Zahera na nguvu za wanachama na hasa mikoani...Simba ina kikosi kizuri kwa sasa chenye wachezaji karibu wanane wa kigeni kwenye kikosi cha kwanza..Yanga ya Manji nayo ilikuwa hivyo hivyio lakini kwa waelewa ilikuwa ni wazi kuwa Manji akiondoka Yanga itakuwa kwenye kipindi kigumu ..na hicho ndicho kilichotokea..Ila kwa bahati nzuri Yanga haijasambaratika, bado iko vizuri na kuwashangaza wale wote wasioitakia mema klabu hii..kwa hiyo Yanga itakuja na nguvu mpya muda siyo mrefu ujao...
Leo nimeona nifanye revision ya huu uzi.Hii mechi tunashinda msihofu wanasimba