GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
majibu mubashara
Hahhhaha na kisingizio chake cha umemz kukatikaKishalala huyu saa hizi ana usingizi wa kufa mtu. Saa moja usiku tu kishapanda kitandani hadi 11 alfajiri ndiyo anastuka na kama ni weekend na hana kazi ya kufanya hurudi tena kulala hadi saa mbili asubuhi. [emoji41]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ya kabatiHii mechi naona inaisha draw
Duh!Dakika ya 54 Simba wanakosa goli kupitia kagere
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Hahhahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ila mm sijui kwa nn sio mrembo baba paroko na sura ya baba angu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1047167
Acha basi!
Ohhhhhhhhh sodata kumbe lisemwalo lipo banah ahh kweli warembo wengi wapo simba Shunie kumbe we ni wa viwango hivi aisehh, mbona rafiki yako Sakayo hajawahi niambia nitume maombi....Ila mm sijui kwa nn sio mrembo baba paroko na sura ya baba angu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1047167