Mimi natamani kunywa pombe,washikaji wamelewa wanaimba hatari.Leo nimelia....
Leo nimelia....
.hahahaaaaaaMungu huwa asikilizi sala za kinafiki, yani anakuona wewe ni Mtanzania kabisa halfu unaomba aibariki.... Nifah wewe ni wa mkoa to mkoa achana na wakimatifa
Happiness is a lifestyle
Mm je kwangu ndio kumekucha simba wamenipa rahaaaa
Kabisaa!!!!! Hauhitaji hasiraaaJirani yangu kanichunia leo maana ana maumivu aina mbili leo
Lakini huu mchezo si hauhitajigi hasira wakuu?
Jirani kwangu ndio kumekucha ujue
Gemu ya leo nilikuwa natetemeka mwanzo mwisho..
Pole yake mnoooAcha kabissaaaa....mzigua sijui huko ana hali gani
Nna mpwa wangu hapa Yanga hana raha masikini kanuna anapiga watoto makonzi balaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zama kwa mbebez wako uko
Jirani kwangu ndio kumekucha ujue