Masasi-Masasi
Senior Member
- Sep 17, 2018
- 190
- 114
hahahaha vyura wana matundu makubwa kweli?AS Vita lile vumbi la Congo walilotumia watabaka vyura leo
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Yanga oyeeeeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na lipuliiiii wenuuuuuuu
Sent using mijikamimi
Gemu ya leo nilikuwa natetemeka mwanzo mwisho..
Mpaka sasa hivi natetemeka siamini
Amini mkuuGemu ya leo nilikuwa natetemeka mwanzo mwisho..
Mpaka sasa hivi natetemeka siamini
Simba imenipa Raha ambayo sikuwai kuipata ktk hii duniaOooh sijui Makusu sijui nani!
Hivi unajiaminije unakuja shinda pale kwa mkapa wakati al ahly alikalishwa?
Tuma huku ntamrushiaa!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]leta ac nilushe maji
Sent using mijikamimi
Yoyote twalaaaaaNani wa kucheza nae hapa
-Wydad Casablanca
-Esperance sportive de tunis
-Tout Puissant Mazembe
Pale unapotabiri na kuwa KWELI! [emoji12]
Hongereni wana simba. Pongezi Simba sports klabu kwa ushindi mnono na mtamu. Hongera kwa Watanzania wote pamoja na wale wooote mliokuwa mkiiombea Simba mabaya.
Ahsante simba kwa kunipa hela kidogo ya [emoji481] kesho.View attachment 1047198
Sent using Jamii Forums mobile app
Lianzishe huko huko Bush potelea mbali..Ulanzi na Mbege haziwezi kukosekana huko jilipue tu.
Nifah nakusalimia tu, Nisalimie Bantu Lady na Makoye Matale.Mungu ibariki AS Vita, Amen [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums