Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Lile kapu lenu lipitisheni Msimbazi mpate Minoti ya maanAcha tu baada ya kukomboa nkalala na kulala nimekuja kujua matokeo baada ya mechi kwisha tena kutokana na kelele za mashabiki huko nje.
Hahahaaa. Sawa Bwana.Dah! Kiukweli munatia huruma sana
"Huko ana MTU wake anamwakilisha'Akomae na mabeberu huko, asisogeze pua huku hata kidogo
Hata hatutaki buku buku zetu zinatosha. Hizo peweni nyie mashabiki mfidie mabando yenu. 😅😅😅
Ila Simba washaweka heshima ya uwanja wa taifaHahahaaa. Sawa Bwana.
"Umeanza kutojiamini,ni kosa kubwa ktk maisha"
Unaongea kutoka moyoniHata hatutaki buku buku zetu zinatosha. Hizo peweni nyie mashabiki mfidie mabando yenu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Ni kweli usemalo japo nasikia mpaka Mumzimishe mtu huko ndio minapata ushindi nje ya hapo nyie ni Simba Koko tu. 😎
Yah. Kutoka moyoni ndio. Hatutaki masimango kutoka kwenu ndio sababu.
Hasira zako za ugumu wa maisha unazimalizia kwa JPM, pole sana mkuu na jumapili njema.
Kwan maneno yanauaYah. Kutoka moyoni ndio. Hatutaki masimango kutoka kwenu ndio sababu.
"Kila fursa itumie vizuri"
Hayaui ila yakitoka kwa Nguvu moja yanakera sababu yatajaa kejeli za kila aina.
Naomba tupagwe na Tp Mazembe Au EsperanceYah. Kutoka moyoni ndio. Hatutaki masimango kutoka kwenu ndio sababu.
Endeleen kujitutumua wakat mnakufa njaaHayaui ila yakitoka kwa Nguvu moja yanakera sababu yatajaa kejeli za kila aina.