Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Teh teh teh labda mshinde njaaHii mechi tunashinda msihofu wanasimba
Hahaha haitakuwa poa hyoTanesco wataiokoa simba
Ina make sense Simba kupigana kiume na Vita, kuliko wala mbwa kula Vyura Iringa!!
Mtani majungu hayoIna make sense Simba kupigana kiume na Vita, kuliko wala mbwa kula Vyura Iringa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Stay tuned brother hii ndiyo simba
Stay tuned brother hii ndiyo simba