Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Unalazimishwa na nani?Penda chongo uliite kengeza. Ulipokuwa unapanga ratiba Chura wapo kwenye kundi gani?
 
Umesikia wamepangiwa TP MAZEMBE HUKO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na wanaanzia hapa kwa mkapa


Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Nimeiona Kaka. Ila CAF si watu wazuri hata kidogo, wale namba mbili wote wamepewa Mtihani wa kuanzia makwao.

Nawaza tu Mikia hapo kwa Mkapa watamfunga ngapi Mazembe.
 
Ratiba ya mume wenu mnaijua ndani nje.Na huo ndio wajibu wa mke mtiifu.Mechi yenu na Alliance lini vile?
Mtateseka sana. SPORT PESA wameshaingiza kwenye account milioni 50 wakati vyura wakihangaika na vibubu vya kuchangisha.
 
Ingawaje nilishaachana na soka la bongo ila sina budi kuwapongeza wana msimbazi kwa hatua mliyofikia na vile vile kuwatakia kila la kheri dhidi ya Mazembe.
Ni wazi kuwa Mazembe hawa si wale waliosumbua miaka ile,hivyo basi naweza kusema game dhidi yao si nyepesi kihivyo (kutokana na uzoefu na mafanikio yao kwenye michuano hii)na vile vile si ngumu kivile kwamba ishindikane kuwafungasha virago kurudi kwao kongo.
Kwenye mpira hakuna aliye bora zaidi ya mwingine mpaka dakika 90(kwa hapa dakika 180 ) zimemalizika,cha msingi ni kuwa na game plan nzuri tu,nafikiri ishu ya game zenu za ugenini mmeshaitafutia ufumbuzi.
Natumai WEMBE ni ULE ULE uliomnyoa NDUGUYE
 
Nimeiona Kaka. Ila CAF si watu wazuri hata kidogo, wale namba mbili wote wamepewa Mtihani wa kuanzia makwao.

Nawaza tu Mikia hapo kwa Mkapa watamfunga ngapi Mazembe.
NA HII HAMNA CHA KUKUSANYA POINT, UKIPIGWA NJE NDANI MECHI MBILI KWA HERIIIIIIIII

KILA LA HERI TP MAZEMBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…