Ligi ya Mabasi ya Mikoani Buses zinazokimbiza Mikoani

Ligi ya Mabasi ya Mikoani Buses zinazokimbiza Mikoani

Matema beach, kiswele, special coach,zilikuwa scania,sidhani kama kuna basi zinachapa mwendo siku hizi, labda lile basi la njano linalokwenda Mwanza.sijui linaitwaje lile..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hizi buses ... Kwa mikoani ni buses gani zinakimbiza sana? Maana kuna jamaa ana sema zhing tong ndo balaa. Mi nafahamu haya mabasi tupeane uzoefu kwa mbio ni buses zipi zina nguvu/speed

1. Yu Tong
2. Higer
3. Golden Dragon
4. Scania
5. Zhang Tong
6. Marco polo
Andare Benzi za Brazil, anatumia Dar express.
 
Gari yenye speed kuliko zote apo chombi ni MAN shokap busta spiring busta ndege ya chini huskii tuta SR CLASSIC dar congo
 
Kwa Njia Ya Mbeya, Bus La Saul ni MwendoWa Kuotea mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna hizi buses ... Kwa mikoani ni buses gani zinakimbiza sana? Maana kuna jamaa ana sema zhing tong ndo balaa. Mi nafahamu haya mabasi tupeane uzoefu kwa mbio ni buses zipi zina nguvu/speed

1. Yu Tong
2. Higer
3. Golden Dragon
4. Scania
5. Zhang Tong
6. Marco polo
Kuna sehemu nahisi shule zimewahi kufungwa.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Scania itabaki kua juu kwa kutengeneza ingine zenye nguvu Sana hapo
Mzee baba kwa njia ya Dar.....mbeya
SAULI hana mpinzani
Ila hata Bwana majinjah ana scania ila mwendo wa Kobe sijui wanakwama wapi kuzipiga mpini
Dadeq!
 
Matema beach, kiswele, special coach,zilikuwa scania,sidhani kama kuna basi zinachapa mwendo siku hizi, labda lile basi la njano linalokwenda Mwanza.sijui linaitwaje lile..

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya nyuma kuna kiswele moja ilikuwa na injini nyuma tulitoka nayo songea saa 12 asubui saa tisa kasoro tupo dar zile chuma zilikuwa zinatembea hatari.
 
Back
Top Bottom