Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Zinaitwa " Golden Dragon"3. Golden Deer
Wenzako wanatafuta mabwana wewe unatafuta vi ben 10.Wenzako wanatafuta pesa wewe unakremu mabasi.
Andare Benzi za Brazil, anatumia Dar express.Kuna hizi buses ... Kwa mikoani ni buses gani zinakimbiza sana? Maana kuna jamaa ana sema zhing tong ndo balaa. Mi nafahamu haya mabasi tupeane uzoefu kwa mbio ni buses zipi zina nguvu/speed
1. Yu Tong
2. Higer
3. Golden Dragon
4. Scania
5. Zhang Tong
6. Marco polo
hapo bado movement starMatema beach, kiswele, special coach,zilikuwa scania,sidhani kama kuna basi zinachapa mwendo siku hizi, labda lile basi la njano linalokwenda Mwanza.sijui linaitwaje lile..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu nahisi shule zimewahi kufungwa.Kuna hizi buses ... Kwa mikoani ni buses gani zinakimbiza sana? Maana kuna jamaa ana sema zhing tong ndo balaa. Mi nafahamu haya mabasi tupeane uzoefu kwa mbio ni buses zipi zina nguvu/speed
1. Yu Tong
2. Higer
3. Golden Dragon
4. Scania
5. Zhang Tong
6. Marco polo
Kuna sehemu nahisi madanguro yamewahi kufungwa.
Miaka ya nyuma kuna kiswele moja ilikuwa na injini nyuma tulitoka nayo songea saa 12 asubui saa tisa kasoro tupo dar zile chuma zilikuwa zinatembea hatari.Matema beach, kiswele, special coach,zilikuwa scania,sidhani kama kuna basi zinachapa mwendo siku hizi, labda lile basi la njano linalokwenda Mwanza.sijui linaitwaje lile..
Sent using Jamii Forums mobile app