Nalikumbuka, lilikuwa linanesanesa,hatari ile mashine..Miaka ya nyuma kuna kiswele moja ilikuwa na injini nyuma tulitoka nayo songea saa 12 asubui saa tisa kasoro tupo dar zile chuma zilikuwa zinatembea hatari.
Ally'sMatema beach, kiswele, special coach,zilikuwa scania,sidhani kama kuna basi zinachapa mwendo siku hizi, labda lile basi la njano linalokwenda Mwanza.sijui linaitwaje lile..
Sent using Jamii Forums mobile app
MmekutanaKuna sehemu nahisi madanguro yamewahi kufungwa.
kuna sehemu nahisi vichaa wamekutana.Kuna sehemu nahisi madanguro yamewahi kufungwa.
Ww ndio hujui marcopolo ni bus yaani kwa maana ya body na scania ni engine na chasesAlafu mdogo wangu Mtu Asiyejulikana hakuna bus aina ya Marco Polo bali hiyo ni aina ya body inayoundwa huko Brazil na pale kwa Madiba wanafanya assemble !.
Kuna sehemu nahisi makahaba wamekutanakuna sehemu nahisi vichaa wamekutana.
Marcopolo ni body builders makao makuu ni Brazil.Wanashirikiana na Scania South AfricaMarco Polo wanatengeneza mabasi siku hizi??
Nilitaka niitaje hiyo ligi ya Ally's na KataramaNgoja nikwepe matusi Toka kwa mtoa mada
Ally's katarama,Saul,mallesa's