Ligi ya Mabingwa Afrika 2019/20 Simba SC dhidi ya UD do Songo, Yanga SC dhidi ya Township Rollers

KIKOSI KILICHOCHEZA DHIDI YA TOWNSHP ROLLERS MARCH 2018 CHINI YA LWANDAMINA.
Kabwili, Kessy, Dante, Yondani, Ngonyani, Makapu, Tshitshimbi,Buswita, Chirwa, Ajib, Marthin
Kwasasa wamepotea njia kwakweli
Township wamecheza mechi ya kirafiki jana wapo South africa na wanataraji kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Simba unafahamu kwenye mechi yao dhidi ya Kaizer waliwafanya nini jana?
 
Tareh ngapi mkuu?
Simba day 8/8 ila 9/8 mechi Maputo wasi wasi wangu timu ikienda ugenini wanaenda nchi usiku siku 3 su 4 kabla ya mechi ili wa adopt mazingira ya nchi uhusika.
 
Township wamecheza mechi ya kirafiki jana wapo South africa na wanataraji kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Simba unafahamu kwenye mechi yao dhidi ya Kaizer waliwafanya nini jana?
Unajua mechi za pre season zinavyokuwa? Au mpira umeanza kuangalia jana mechi ya Township
 
Unajua mechi za pre season zinavyokuwa? Au mpira umeanza kuangalia jana mechi ya Township
Mpira nimeucheza, nimecheza hadi ligi daraja la kwanza!
.
Township kapoteza mechi mbili tu kwenye ligi yao, mpira naujua mkuu usidhani kabisa kuwa mimi ni shabiki mropokaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…