Shadida Salum
Journalist at JamiiForums
- Sep 11, 2020
- 69
- 105
Michezo miwili ya Klabu bingwa Afrika itapigwa hii leo . Mchezo wa kwanza ni wa kundi B ambao utaikutanisha CR Belouizdad dhidi ya Mamelodi Sundowns katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi kwa saa za Afrika Mashariki.
Katika mchezo huo watazamaji hawatoruhusiwa kuingia uwanjani kutokana na ombi kutoka kwa wahusika.
Na mchezo wa pili ni wa kundi C kati ya WAC Casablanca dhidi ya Kaizer chiefs mchezo ambao utapigwa saa moja Usiku.
MATOKEO
FULL-TIME | Benjamin Mkapa Stadium
CR Belouizdad 🇩🇿 1-5 🇿🇦 Mamelodi Sundowns
[Amir Sayoud || Themba Zwane 2X, Peter Shalulile, Lebohang Maboe, Kermit Erasmus] ⚽
Msimamo Kundi B
1. Mamelodi [6]
2. TP Mazembe [2]
3. Al Hilal [1]
4. CR Belouizdada [1]