magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Hahah poa mkuu washindi nyinyi. Ila wakina Kagera wanawasubiri huku.Utakufa na roho mbaya wewe chura. Kwa ule mpira wa Mbabane wangekuwa Yanga wangechezea koki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah poa mkuu washindi nyinyi. Ila wakina Kagera wanawasubiri huku.Utakufa na roho mbaya wewe chura. Kwa ule mpira wa Mbabane wangekuwa Yanga wangechezea koki
Walikuwa wanarudi kwa mafungu mafunguHakuna timu iliyotia aibu club bingwa na shirikisho kama Yanga, ilifika kipindi tukatamani muwe mnashukia somalia kukwepa aibu
Dua la kuku hahahahahahahaNkana watamaliza na kuzima kelele hizi zote😡😡😡
Ni vizuri kujifarijiHahah poa mkuu washindi nyinyi. Ila wakina Kagera wanawasubiri huku.
Mwache asogeze siku huyuHata mbabane ngonjera zilikuwa ni hizi hizi kunywa maji presha itakuuwa
You must be kidding!Mbabane mmewawavizia baada ya tajiri wao kuuwawa,so wachezaji wengi wameondoka msimu huu baada ya uchumi kuyumba
You pretent to be Nkana's spokesperson!Hamchomoki,Zambia si wababishaji kama soka la Tz wapo serious sana
[emoji23][emoji23][emoji23] furaha umeipata chura..Mbabane tupe furaha wananchi wa Tanzania
Nkana watamaliza na kuzima kelele hizi zote😡😡😡
Tatizo lilianzia hapa ndo mana wamenyeshewa mvua ya magoli 8View attachment 956295
Waulize lile basi walilopaki dk90 wakimuogopa mnyama safari hii watajitoa ligi kuu kuwakimbia simbaUtakufa na roho mbaya wewe chura. Kwa ule mpira wa Mbabane wangekuwa Yanga wangechezea koki
😉😉😉ngoja historia ijirudie mkale 4-0 tenaMchawi si mpaka aruke na ungo etiii!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walikuwa wanarudi kwa mafungu mafungu
Nafikiri umepata jibu. Mbona umeadimika kutokea mechi ya jana iishe?Sujui kama yale maji wamesadifiri nayo. Je wataruhusiwa kuyamwaga kule ugenini?
Eti walibeba pipa zima toka mortuary MuhimbiliNafikiri umepata jibu. Mbona umeadimika kutokea mechi ya jana iishe?
Matokeo umeyapata?
Nani hao Sumbwanga United?Msijali mechi ya marudiano mtashinda.Eti walibeba pipa zima toka mortuary Muhimbili
True meaning of friend matchNani hao Sumbwanga United?Msijali mechi ya marudiano mtashinda.
Kwani huko Rukwa si ilikuwa mechi ya raundi ya kwanza tu.