Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Wamefungwa na Sumbawanga United kwenye "champions League " yao 2-1.Wanategemea kupindua meza kwenye mechi ya marudiano wiki ijayo.
Leo kocha kalia tena safari hii kasema uwanja mbovu umemliza.
 
Sujui kama yale maji wamesadifiri nayo. Je wataruhusiwa kuyamwaga kule ugenini?
Nafikiri umepata jibu. Mbona umeadimika kutokea mechi ya jana iishe?
Matokeo umeyapata?
 
Eti walibeba pipa zima toka mortuary Muhimbili
Nani hao Sumbwanga United?Msijali mechi ya marudiano mtashinda.
Kwani huko Rukwa si ilikuwa mechi ya raundi ya kwanza tu.
 
Nani hao Sumbwanga United?Msijali mechi ya marudiano mtashinda.
Kwani huko Rukwa si ilikuwa mechi ya raundi ya kwanza tu.
True meaning of friend match
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…