Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Sujui kama yale maji wamesadifiri nayo. Je wataruhusiwa kuyamwaga kule ugenini?
 
Mkuu nchi hii ina vichaa wengi sana, ukihangaika nao unaweza kuishia kuwehuka, ngoja tukampe shoga yao dose moja matata sana hapo Eswatini.
Possibility ya kuvuka mnayo kubwa. Lakini wekeni akiba ya maneno kidogo.
 
Possibility ya kuvuka mnayo kubwa. Lakini wekeni akiba ya maneno kidogo.
Nashukuru sana kwa kukiri kwako hili mkuu wangu,ubingwa wa TPL nao utakuja kwetu namna hii hii, lije jua inyeshe mvua simba bingwa tena msimu huu.
 
Nashukuru sana kwa kukiri kwako hili mkuu wangu,ubingwa wa TPL nao utakuja kwetu namna hii hii, lije jua inyeshe mvua simba bingwa tena msimu huu.
Huku kwenye TPL sahau.
Bingwa yupo tayari anaenda taratibu. Kila mechi point tatu. Iwe Dar au Mikoani.
 
Naona hakuna umuhimu wa kucheki hii game sababu tushafuzu, ila kwa sababu napenda nione beautiful football acha tu niangalie.
 
Kwa mujibu wa livescore game ni saa nane na nusu
Screenshot_20181204-135233.jpeg
 
Back
Top Bottom