Friend match ndio nini?True meaning of friend match
Friend match ndio nini?True meaning of friend match
Andika wewe kitu sahihi. Isiwe Friendly match.Friend match ndio nini?
Kama kinagomba andika kiswahili.Au tafsiri za Google?
Tatizo casava nyingi ilikaa kooni na afya drinking water embutee chozi likashuka kama mvua ya jangwaniWamefungwa na Sumbawanga United kwenye "champions League " yao 2-1.Wanategemea kupindua meza kwenye mechi ya marudiano wiki ijayo.
Leo kocha kalia tena safari hii kasema uwanja mbovu umemliza.
Naona umesahihisha ni friendly match sio friend match. Ukikosea unasahihishwa.Andika wewe kitu sahihi. Isiwe Friendly match.
Yes, nilikosea, and it wasn't a big deal!Naona umesahihisha ni friendly match sio friend match. Ukikosea unasahihishwa.