Unawashwa subiri Chama akununeMbabane tupe furaha wananchi wa Tanzania
Mikia OUT...
ππππVyura IN...
Acha roho mbaya penda vya nyumbani [emoji196] [emoji4]Kila la kheri Mbabane.
"Mungu ibariki Afrika"
Hakuna anaebisha hilo liko waziInajulikana wazi kuwa leo tunaenda kumalizia kutafuna mifupa ya mbabane swallows mkuu Sapta Sapta kuna mtu anabisha upande huo?
Mkuu nchi hii ina vichaa wengi sana, ukihangaika nao unaweza kuishia kuwehuka, ngoja tukampe shoga yao dose moja matata sana hapo Eswatini.Unawashwa subiri Chama akunune
Possibility ya kuvuka mnayo kubwa. Lakini wekeni akiba ya maneno kidogo.Mkuu nchi hii ina vichaa wengi sana, ukihangaika nao unaweza kuishia kuwehuka, ngoja tukampe shoga yao dose moja matata sana hapo Eswatini.
Nasikia Somo kafika airport kaanza kuendeshaSujui kama yale maji wamesadifiri nayo. Je wataruhusiwa kuyamwaga kule ugenini?
Tena bila leseni.Nasikia Somo kafika airport kaanza kuendesha
Nashukuru sana kwa kukiri kwako hili mkuu wangu,ubingwa wa TPL nao utakuja kwetu namna hii hii, lije jua inyeshe mvua simba bingwa tena msimu huu.Possibility ya kuvuka mnayo kubwa. Lakini wekeni akiba ya maneno kidogo.
Huku kwenye TPL sahau.Nashukuru sana kwa kukiri kwako hili mkuu wangu,ubingwa wa TPL nao utakuja kwetu namna hii hii, lije jua inyeshe mvua simba bingwa tena msimu huu.
Ndiyo Wale Mliosema Wakija Dar es salaamKila la kheri Mbabane swallows
ππππAcha roho mbaya penda vya nyumbani [emoji196] [emoji4]
Inajulikana wazi kuwa leo tunaenda kumalizia kutafuna mifupa ya mbabane swallows mkuu Sapta Sapta kuna mtu anabisha upande huo?
Naweka akiba ya maneno. πππHakuna anaebisha hilo liko wazi
simba nguvu moja [emoji123]