Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Ahsanteeeee......hahaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongereni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongereni sana
Ahsanteeeee......hahaaaaaa
Hahaaaahaaa!!!!ahsanteMmeuchezs mpira... Hakika ni kikosi cha 1B... Thamani yake inaonekana
Leo chama langu Ni yechu yechu, John bocco kapiga dasi ya fuasi , kagere na triple c Ni full ile laana. Japo masnitch wale walikua hata mauzalendo wamedash lakini dingii mnyama ameonesha unyama
Kwa nini watesekaa
Hahaaaaaaaaaaaa
Ahsante wozaaaaa full shangweewHahahaa, ila hongereni sana dada!
Aisee... Sasa nafuta sala zangu... Mpigwe goli 2... Na iwe FT SIMBA 0 - 2 MBBNE ...
Ewe mungu baba, mueza juu kila kitu, usiyeshindwa jambo lolote mbele yako, baba muumba mbingu na ardhi, na kila vilivyomo kwenye ulimwengu huu...
Nina ombi moja kwako leo baba... Baba naomba ujaalie timu ya simba ifungwe goli mbili tu wala sio yingi baba...
Baba hawa simba wanajikuta wao ni Barcelona ya Tanzania... Kumbe hawana lolote la maana... Timu imejaa wazee waongo wanaodanganya umri wao.. baba jaalia kabisa na wafungwe mechi ya marudiano...
Baba naamini umesikia ombi langu baba... Hakika wewe ni msikivu mwenye kujibu shida za wanyonge...
Aaamiiin
Asante sanapole Sana
Asante sana
Pacifique NDABIHAWENIMANA man of the match
Aisee... Sasa nafuta sala zangu... Mpigwe goli 2... Na iwe FT SIMBA 0 - 2 MBBNE ...
Ewe mungu baba, mueza juu kila kitu, usiyeshindwa jambo lolote mbele yako, baba muumba mbingu na ardhi, na kila vilivyomo kwenye ulimwengu huu...
Nina ombi moja kwako leo baba... Baba naomba ujaalie timu ya simba ifungwe goli mbili tu wala sio yingi baba...
Baba hawa simba wanajikuta wao ni Barcelona ya Tanzania... Kumbe hawana lolote la maana... Timu imejaa wazee waongo wanaodanganya umri wao.. baba jaalia kabisa na wafungwe mechi ya marudiano...
Baba naamini umesikia ombi langu baba... Hakika wewe ni msikivu mwenye kujibu shida za wanyonge...
Aaamiiin
Mnyama unyamani siku zote, bado yanga raundi ya pili kwenye TPL, amin nakuambia siku hiyo kuna msiba mkubwa sana utatokea kwa upande wao, Mark my words.Leo chama langu Ni yechu yechu, John bocco kapiga dasi ya fuasi , kagere na triple c Ni full ile laana. Japo masnitch wale walikua hata mauzalendo wamedash lakini dingii mnyama ameonesha unyama
Kabisa mkuu wangu, tuwe na subira tuwasubiri kwenye raundi ya pili watueleze kama maharaghe ni mboga au ni zao la biashara?Kule wamebaki kuzozana na Akilimali sisi tunazozana na nyavu za wapinzani.
Dua mbaya haijawahi fanikiwa hata siku moja, you will end up very dissapointed mwanga mkubwa ww!Aisee... Sasa nafuta sala zangu... Mpigwe goli 2... Na iwe FT SIMBA 0 - 2 MBBNE ...
Ewe mungu baba, mueza juu kila kitu, usiyeshindwa jambo lolote mbele yako, baba muumba mbingu na ardhi, na kila vilivyomo kwenye ulimwengu huu...
Nina ombi moja kwako leo baba... Baba naomba ujaalie timu ya simba ifungwe goli mbili tu wala sio yingi baba...
Baba hawa simba wanajikuta wao ni Barcelona ya Tanzania... Kumbe hawana lolote la maana... Timu imejaa wazee waongo wanaodanganya umri wao.. baba jaalia kabisa na wafungwe mechi ya marudiano...
Baba naamini umesikia ombi langu baba... Hakika wewe ni msikivu mwenye kujibu shida za wanyonge...
Aaamiiin
Kwann simba wasicheze km mbadala wa taifa starsHuyu jamaa ana zile 4B za soka, ball brain, ball balance, ball control.....jamaa ni football magician hapa bongo, naweza kusema hakuna attacking midfield bora bongo nzima kama huyu jamaa kwa sasa.