Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC 4-1 Mbabane Swallows

Husuda hiyo. Alimaliza mkataba. Ni mchezaji mzuri.Kataa kubali lakini ndio ukweli.
 
Kaizer Chief 4 Zimamoto 0 dk75
Uzalendo kwanza ushabiki baadae
 

pole Sana
 
Kila neno la laana kwenye hii dua limegeuka na kufanyika baraka. Shukran kwa dua yako.
 
UNAHISI JAMAA ANAMWAMBIA NINI BOCCO KIMOYOMOYOO
 
Leo chama langu Ni yechu yechu, John bocco kapiga dasi ya fuasi , kagere na triple c Ni full ile laana. Japo masnitch wale walikua hata mauzalendo wamedash lakini dingii mnyama ameonesha unyama
Mnyama unyamani siku zote, bado yanga raundi ya pili kwenye TPL, amin nakuambia siku hiyo kuna msiba mkubwa sana utatokea kwa upande wao, Mark my words.
 
Kule wamebaki kuzozana na Akilimali sisi tunazozana na nyavu za wapinzani.
Kabisa mkuu wangu, tuwe na subira tuwasubiri kwenye raundi ya pili watueleze kama maharaghe ni mboga au ni zao la biashara?
 
Dua mbaya haijawahi fanikiwa hata siku moja, you will end up very dissapointed mwanga mkubwa ww!
 
Huyu jamaa ana zile 4B za soka, ball brain, ball balance, ball control.....jamaa ni football magician hapa bongo, naweza kusema hakuna attacking midfield bora bongo nzima kama huyu jamaa kwa sasa.
Kwann simba wasicheze km mbadala wa taifa stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…