ahahaaaa hao ni mavyura wa jangwani!Mtangazaji anakuambia anawaona mashabiki wengi sana wa Mbabane wamesafiri na team kutoka Eswatini lakini wengi sura zao sio ngeni ndani ya viunga vya jiji la Dar [emoji23][emoji23]
Matokeo yakoje
Mkuu zimepatikana 4,tunaenda kumalizia sherehe pale mbabane Eswatini.Bila goals 4 na kutoruhusu goal lingine watabaki Bongo
Mkuu umeniwahi hata Mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo,Bado nafikiria hapa ni kwavipi Chama anacheza Simba wakati Fellaini yupo Man Utd
High definition.Hassan Dilunga HD na pass za HD
Yanga ndio wana msiba mkubwa zaidi kuliko mbabane swallows wenyewe.yanga tunashukuru kwa kushiriki bila Shaka hiki kipigo ni pigo kubwa saana kwenu
Yeah hapo kazi imeisha mengine,majaaliwaMkuu zimepatikana 4,tunaenda kumalizia sherehe pale mbabane Eswatini.
Huyu jamaa ana zile 4B za soka, ball brain, ball balance, ball control.....jamaa ni football magician hapa bongo, naweza kusema hakuna attacking midfield bora bongo nzima kama huyu jamaa kwa sasa.Bado nafikiria hapa ni kwavipi Chama anacheza Simba wakati Fellaini yupo Man Utd
ukimtoa Musonda na Bwalya kuna mchezaji wa Zambia mwingine aliyecheza kwa mafanikio Ulaya???Kuna kila sababu za kumpeleka CHOTA CHAMA Ulaya hata kwa nguvu, huku bongo anapoteza muda tu.
Jamaa anajua hadi kivuli chake kinapiga chenga.. Ni balaa
Huyu jamaa nitamtendea haki zaidi na pia mimi kujitendea haki zaidi kwa wikiendi hii kwenda kutafuta jezi original ya Clotus Chama Chota.Kuna kila sababu za kumpeleka CHOTA CHAMA Ulaya hata kwa nguvu, huku bongo anapoteza muda tu.
Jamaa anajua hadi kivuli chake kinapiga chenga.. Ni balaa