Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC kung'atana na Mbabane Swallows ya Swaziland

Simba Bwana!! Mashabiki wao sijui wana tatizo gani. Kazi yao kuiwaza Yanga tu badala wadeal na mechi yao. Sasa Game ni Simba na swallows, Inakuwaje waje na Vinyago vya Yanga? Kwanini wasije na vinyago vya Swallows? Ndomaana wanapata pressure kila siku.
 
Halafu wanataka tuwe wazalendo, mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Kitendo cha kumwalika bwana yule siku ya kutwaa ubingwa ndio makosa hayohayo Kwa Taifa stars! Full gundu.
Kuna watu hawana nyota ya mafanikio bali fix na blabla. Hakika tutajuta!
 
Hivi nani alimpa u tanzania one huyu AISHA Manula anafungwa magori ya kisenge senge bora hata Kindoki kuliko huyu fala.
hahahahaha mkuu kindoki hafai yule, akikaa golini ni pressure 24/7.

sema manura nae sio mkali kuvile, magazeti humbeba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…