chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
hawa mbambane last year waliwatoa azam hivyo maandalizi ya mapema ni muhimu,na ushindi mkubwa ukiwa nyumbani ni wa muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa et go mbumbumbuWajipange hao Mbabane Sio wa mchezo. All in All nawatakia mafanikio Mbumbumbu fc wakifanya vizuri wao ni
nafasi kwetu sote kuongezewa nafasi za ushiriki. Go Mbumbumbu Go.
Let me tell you. Ulichoandika "kinaprove" umbumbumbu ulionao. Shame on you.Wajipange hao Mbabane Sio wa mchezo. All in All nawatakia mafanikio Mbumbumbu fc wakifanya vizuri wao ni nafasi kwetu sote kuongezewa nafasi za ushiriki. Go Mbumbumbu Go.
Mpaka sasa bado wanachama wa YANGA wanamng'ang'ania MANJI kuwa ni mwenyekiti wao ilhali mwenyewe alishaandika barua ya kung'atuka.Mbumbumbu fc round ya kwanza tu out
Mkuu don't take it that serious. Haya ni majina tu tunayopeana kwa mfano kipindi kile Mwenyeki wetu kakamatwa Yanga tuliitwa Wauza Ngada au Wazee wa Arosto. Je, ni kweli Yanga wanauza Unga? Mkuu kama unafuatilia mpira hasa soka la kibongo nakushauri uache mara moja kuna siku utapiga na mtu kwenye kibanda umiza.Let me tell you. Ulichoandika "kinaprove" umbumbumbu ulionao. Shame on you.
Mkuu don't take it that serious. Haya ni majina tu tunayopeana kwa mfano kipindi kile Mwenyeki wetu kakamatwa Yanga tuliitwa Wauza Ngada au Wazee wa Arosto. Je, ni kweli Yanga wanauza Unga? Mkuu kama unafuatilia mpira hasa soka la kibongo nakushauri uache mara moja kuna siku utapiga na mtu kwenye kibanda umiza.
Hahaha mi huwa nacheka sana wanapotutania Mama Zahera anakuja kuchukua nafasi ya Makambo dirisha dogo!Hahaha, haya majina kama siyo mfuatiliaji mzuri yanaweza kuleta ugomvi.
Mara utasikia Mikia FC, Mbumbumbu FC hao ni Simba.
Yanga sasa, Vyura, Wamatopeni huku wao wakijiita Wakimataifa.
Hahaha mi huwa nacheka sana wanapotutania Mama Zahera anakuja kuchukua nafasi ya Makambo dirisha dogo!
Hahah next time Zahera atachunga mdomo wake kabla hajaongea. Kama alikuwa hajawajua mashabiki wa Bongo ni watu wa namna gani atakuwa ameanza kupata picha.Ni kweli mkuu mama yake Zahere anakuja na tiketi ameshatumiwa. Anangojea dirisha dogo.Kwa mujibu wa kocha Zahere ana nafuu kiufungaji kuliko Makambo.
Kwa kuanzia home maana yake Simba minority kwa Mbabane Swallow!!! Povu rukhsaHuyu Hajar atusubiri kwenye TPL ndo anga zake..Klabu Bingwa Afrika wanakutana wenye mpira wao[emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo na mori wa kutosha.
duuuh hata sikuona kwanini TanescoUmeme umeenda kwao.