Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC kung'atana na Mbabane Swallows ya Swaziland

hawa mbambane last year waliwatoa azam hivyo maandalizi ya mapema ni muhimu,na ushindi mkubwa ukiwa nyumbani ni wa muhimu.
 
Wajipange hao Mbabane Sio wa mchezo. All in All nawatakia mafanikio Mbumbumbu fc wakifanya vizuri wao ni
nafasi kwetu sote kuongezewa nafasi za ushiriki. Go Mbumbumbu Go.
Hahahaaa et go mbumbumbu
 
Wajipange hao Mbabane Sio wa mchezo. All in All nawatakia mafanikio Mbumbumbu fc wakifanya vizuri wao ni nafasi kwetu sote kuongezewa nafasi za ushiriki. Go Mbumbumbu Go.
Let me tell you. Ulichoandika "kinaprove" umbumbumbu ulionao. Shame on you.
 
Mwenyekiti wenu Msomali ndiye aliwaita hivyo msilipeleke kwingine
 
Let me tell you. Ulichoandika "kinaprove" umbumbumbu ulionao. Shame on you.
Mkuu don't take it that serious. Haya ni majina tu tunayopeana kwa mfano kipindi kile Mwenyeki wetu kakamatwa Yanga tuliitwa Wauza Ngada au Wazee wa Arosto. Je, ni kweli Yanga wanauza Unga? Mkuu kama unafuatilia mpira hasa soka la kibongo nakushauri uache mara moja kuna siku utapiga na mtu kwenye kibanda umiza.
 
Hahaha, haya majina kama siyo mfuatiliaji mzuri yanaweza kuleta ugomvi.

Mara utasikia Mikia FC, Mbumbumbu FC hao ni Simba.

Yanga sasa, Vyura, Wamatopeni huku wao wakijiita Wakimataifa.
 
Hahaha mi huwa nacheka sana wanapotutania Mama Zahera anakuja kuchukua nafasi ya Makambo dirisha dogo!
 
Ni kweli mkuu mama yake Zahere anakuja na tiketi ameshatumiwa. Anangojea dirisha dogo.Kwa mujibu wa kocha Zahere ana nafuu kiufungaji kuliko Makambo.
 
Hahah next time Zahera atachunga mdomo wake kabla hajaongea. Kama alikuwa hajawajua mashabiki wa Bongo ni watu wa namna gani atakuwa ameanza kupata picha.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom