Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba yapewa Mwarabu (Al Ahly) na Mcongo (As Vita Club)

Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba yapewa Mwarabu (Al Ahly) na Mcongo (As Vita Club)

nyau fc hilo kundi limekaa katika kulipiza kisasi, aly ahl na vita mara ya mwisho mlipocheza nao kwa waliwapiga 5 dar mkaja kuwafunga na wote walilalamika mliwapulizia dawa vyumbani.

Sasa zile figisu mlizowafanyia hapo dar mtegemee kuzipata mkienda kwao,safari hii kama hamjapigwa 10-10 huko ugenini sijui
Wewe unawashwa sana mama-e utaendelea kupanda Kimbinyiko mpaka Mgongo utokee ta-koni.
Vyura badala mmfariji Mwamnyeto kwa msiba nyie mnawashwa washwa na LUNYANSI
 
Taifa tujiandae na aibu ya kufungwa goli 7 au 10 kundi limejaa timu za kiarabu, Simba na waarab wapi na wapi?
[emoji23][emoji23]maneno ya mkosaji.

Simba kiarabu kipo cha kutosha tu.
Yanga chini ya injinia Madaraka Suleiman walipigwa tano, kwa kiarabu"Khamsa al-mahabbah"
 
Wewe unawashwa sana mama-e utaendelea kupanda Kimbinyiko mpaka Mgongo utokee ta-koni.
Vyura badala mmfariji Mwamnyeto kwa msiba nyie mnawashwa washwa na LUNYANSI
Nyau nyie,hadi kocha kawakimbia sababu ya mipaka
 
Mkuu mwambie huyo bwabwa hivi; Kama mpira ungekuwa ni uchawi basi Nigeria na Congo wangekuwa na world cup za kutosha. Vinginevyo apeleke ubwaubwa wake kwa uto wenzake.
 
Attachments

  • Screenshot_20210108-115244_Instagram.jpg
    Screenshot_20210108-115244_Instagram.jpg
    69.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom