NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Halafu wana kiherehere sana wao wanatakiwa kujadili Mapinduzi na timu ksma IhefuYanga haya magroup hayawahusu, maana hamjapangwa hapo
Taifa tujiandae na aibu ya kufungwa goli 7 au 10 kundi limejaa timu za kiarabu, Simba na waarab wapi na wapi?Yanga ni underwear
Kabisa, bora ijitoe kuliko fedheha tunayotarajia kupata taifa.Hapana ni Under Cat.
Wewe unawashwa sana mama-e utaendelea kupanda Kimbinyiko mpaka Mgongo utokee ta-koni.nyau fc hilo kundi limekaa katika kulipiza kisasi, aly ahl na vita mara ya mwisho mlipocheza nao kwa waliwapiga 5 dar mkaja kuwafunga na wote walilalamika mliwapulizia dawa vyumbani.
Sasa zile figisu mlizowafanyia hapo dar mtegemee kuzipata mkienda kwao,safari hii kama hamjapigwa 10-10 huko ugenini sijui
Simba ndio itakuwa timu ya kwanza kufungwa Goli 7,Liverpool sio amepigwa Goli 7 na Aston villa juzi kati hapa nini kitakuwa cha Aibu kwa Simba???Taifa tujiandae na aibu ya kufungwa goli 7 au 10 kundi limejaa timu za kiarabu, Simba na waarab wapi na wapi?
[emoji23][emoji23]maneno ya mkosaji.Taifa tujiandae na aibu ya kufungwa goli 7 au 10 kundi limejaa timu za kiarabu, Simba na waarab wapi na wapi?
Hapana ni Pisi KaliSimba ndo under dog wa kundi!
Nyau nyie,hadi kocha kawakimbia sababu ya mipakaWewe unawashwa sana mama-e utaendelea kupanda Kimbinyiko mpaka Mgongo utokee ta-koni.
Vyura badala mmfariji Mwamnyeto kwa msiba nyie mnawashwa washwa na LUNYANSI
Nyau nyie,hadi kocha kawakimbia sababu ya mipaka
.Wivu huu!
Sijawahi kuona ndume zinateseka hadharani kiasi hiki!Karibu unakufa...ha ha haa!
All MerreikhSimba ndo under dog wa kundi!
Kwa viwango vya As Vita na El Merreikh msimu huu simba ana uwezo wa kupata point kumi kutoka kwao tu.Simba akifungwa au akidroo mechi moja tuu nyumban biashara inamkata.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Watanzania tuna kalili sana maisha Mkuu.Kwa viwango vya As Vita na El Merreikh msimu huu simba ana uwezo wa kupata point kumi kutoka kwao tu.
Kivipi ?Watanzania tuna kalili sana maisha Mkuu.
kua na stress wakati jf ipo ni kujitakiaMwarabu anamlia Simba tende na maziwa ya ngamia.
Mkongo anamlambia vumbi la Kongo Simba
Taifa tujiandae na aibu ya kufungwa goli 7 au 10 kundi limejaa timu za kiarabu, Simba na waarab wapi n
Al ahly na saura wale ni wandengereko wenzio?Taifa tujiandae na aibu ya kufungwa goli 7 au 10 kundi limejaa timu za kiarabu, Simba na waarab wapi na wapi?