Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba yapewa Mwarabu (Al Ahly) na Mcongo (As Vita Club)

Simba akijitahidi anaweza pata point 4 tena kwa timu hiyo ya Sudan,kupangwa na AC Vita na Mabingwa watetezi wa Misri ni dis advantage kubwa kwa Simba,maana siasa za nje ya uwanja wana zijua sana kwa Simba.
 
Mwarabu anamlia Simba tende na maziwa ya ngamia.

Mkongo anamlambia vumbi la Kongo Simba.

Simba sijui anachomoa wapi hapo?
Hapa ndiyo tutaelewa maana ya uwekezaji kwenye soka.

Simba Nguvu Moja ...
Kwani paka wetu amekufa??? [emoji23][emoji23][emoji23] By the way wembe ni ule ule kwa Mkapa hatoki mtu kisha haoooo nafasi ya pili.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana mkuu, haya Manyani ni kuyapa makavu tu...yamezidi kuja kupiga ramli hapa
 
Simba akijitahidi anaweza pata point 4 tena kwa timu hiyo ya Sudan,kupangwa na AC Vita na Mabingwa watetezi wa Misri ni dis advantage kubwa kwa Simba,maana siasa za nje ya uwanja wana zijua sana kwa Simba.
Ni AS VITA na sio AC VITA
 
Taifa tujiandae na aibu ya kufungwa goli 7 au 10 kundi limejaa timu za kiarabu, Simba na waarab wapi na wapi?
Hivi mkuu unaelewa kwamba aibu tulishaletewa na uto toka enzi....sababu ndo timu inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi champions league[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe unakaa kimyaa[emoji23]
 
Simba akijitahidi anaweza pata point 4 tena kwa timu hiyo ya Sudan,kupangwa na AC Vita na Mabingwa watetezi wa Misri ni dis advantage kubwa kwa Simba,maana siasa za nje ya uwanja wana zijua sana kwa Simba.
Endelea kuwa MTU wa singeli football huijui. Hakuna timu inayoitwa AC VITA Bwege wewe
 
Mnachofanya Utopolo ni sawa na masikini kumsema Tajiri kua hela alizonazo hajazipata kihalali afu uku ukiwa unategemea yeye akusaidie.
 
Muda huo Uto wako kundi gani?
 
Uoga wenu yanga ndio maana kazi yenu kupokea wageni tu
 
Muhimu simba washinde nyumban
Kila timu inaweza shinda mechi zake zote za nyumbani kitakachoamua ni umeshinda magoli mangapi na umetobolewa mangapi huko ugenini
Simba ina rekodi mbaya ya kupanua mapaja mwishowe kutobolewa mabao ya kutosha ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…