Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba yapewa Mwarabu (Al Ahly) na Mcongo (As Vita Club)

Andaeni Panya wenu
 
Hata mama yako alpgwa 5 ukatoka wewe nguruwe
Mwarabu anakulia Tende na kukunywea maziwa ya ngamia huku As Vita mkongo anakulambia Vumbi la Kongo.Jiandae kula kuanzia goli 5 kwenda juu. Hata ukibisha umeshaangukia mikononi mwao huna jinsi ukikubali kuolewa sharti ulale bila nguo.Message sent hata ukijitoa ufahamu unajifanya hutaki kuelewa ukweli ndiyo huo muda utasema.stay tuned kuliwa
 
Endelea kuwa MTU wa singeli football huijui. Hakuna timu inayoitwa AC VITA Bwege wewe
Lazima Simba aliwe muda utasema wewe ndugu yangu Much much jiandae kuliwa huna jinsi umeangukia mikononi mwa wanaume wa Soka lazima upapaswe Kama ulivyopapaswa na Masau bwire
 
Kwani paka wetu amekufa??? [emoji23][emoji23][emoji23] By the way wembe ni ule ule kwa Mkapa hatoki mtu kisha haoooo nafasi ya pili.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mbona mwaka Jana ulishindwa kumfunga Us dongo ukatolewa mapema hapo kwa Mkapa.As Vita na waarabu wanaokujua vizuri safari hii jiandae kudhalilika.Watakuchanua chanu chanu
 
Yani nawaonea huruma kipigo watakachokipata Uarabuni na Kongo watajuta kuingia kwenye makundi.Uzuri wake Wanafahamu uchafu wote wa Simba lazima As Vita na wale waarabu walipize kisasi
 
Yani nawaonea huruma kipigo watakachokipata Uarabuni na Kongo watajuta kuingia kwenye makundi.Uzuri wake Wanafahamu uchafu wote wa Simba lazima As Vita na wale waarabu walipize kisasi
Nyau fc maji wataita mma
 
Kila timu inaweza shinda mechi zake zote za nyumbani kitakachoamua ni umeshinda magoli mangapi na umetobolewa mangapi huko ugenini
Simba ina rekodi mbaya ya kupanua mapaja mwishowe kutobolewa mabao ya kutosha ugenini
We umesahau Algeria ulipigwa vingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…