π π π π muje tu na sio mukimbie Mtani.Mpira ukiisha pia utuite
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Nakuona..hapo roho yako kwatuuu...π π π π muje tu na sio mukimbie Mtani.
Hahahahahaaaaa. Ngoja nikaijaze sasa.Fill the blank teh teh teh teh
Safi sana Mtani. Huo ndio ushabiki sasa.Hatukimbii jukwaa, hapa jasho na damu mpaka hitimisho..NguvuMoja
Wadanganye tu wenzio Mtani. πππSina hofu ushindi unakuja
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Hahahaa. Hivyo watakomboa Swahiba.Huko vyumbani mikia washafanya yao
Simba hawajatuma muamala nnimeona kama offside tatu za uongo.Huyu referee ni bwege sana, ile sio offside
Hahahaaa. Mambo ni poa Dada. ππππMambo ni aje jamani? Betri itaendelea kuchomolewa ama vepe??