sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Jirani naomba unipe matokeo....huko taifa. Mimi nippo huku dar kijjn hamna netwokHahahaaa. Ntajaribu love japo naona dua yangu haitafika. [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani naomba unipe matokeo....huko taifa. Mimi nippo huku dar kijjn hamna netwokHahahaaa. Ntajaribu love japo naona dua yangu haitafika. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaa! Muje kama hivi Mtani.
Dakika 90 zikimalizika usisahau kunistua ili nikusaidie kuchana huo mkekaNajua goli mbili hazikosekani nipige mshindo wa maana...najua wale wenzangu "wazee" washanielewa..
Ilo tulilijua mapēmaaa ilikuwa şuala la muda tuHalf Time, Hali ni ngumu kwa Simba
Simba tulieni tuna goli mbili hapa.
Hapa labda Tigo pesa ihusike hapa.Inabidi serikali iingilie hili swala
Itakua aibu kubwa![]()
Tena heshima haswaaNgoja tuendelee kula mtori nyamabtutazikuta chini.
Nadhani soon tutaheshimiana tu
Huwa hatubahatishi chief..Dakika 90 zikimalizika usisahau kunistua ili nikusaidie kuchana huo mkeka
Hahahaa! Utaiweka pale pa siku zote Mtani.AIBU GANI HII MUNGU WANGU NITAIWEKA WAPI SURA YANGU MIMI KWA VYURA.
Huko vyumbani mikia washafanya yaoTena heshima haswaa
Zimeshashuka goli badala ya zile nne sijui nane.Simba tulieni tuna goli mbili hapa.
Ekizakitili maana wajuaji wamekuwa wengi mjiniTena heshima haswaa
Jirani mpaka Half time ilikuwa moja bila ila kwa sasa sijajua mana nimetoka kidogo.Jirani naomba unipe matokeo....huko taifa. Mimi nippo huku dar kijjn hamna netwok
vp wamakonde wameanza kulegea nini!?Huko vyumbani mikia washafanya yao