Hahahhahah. Leo kusema ukweli natamani matokeo yaishe hivi hivi.Hahahaaa. Mambo ni poa Dada. ππππ
Nasikia wewe ndiyo umeshikilia waya wa betriHahahahahaaaaa. Ngoja nikaijaze sasa.
Tukifungwa Leo tutakoma aisee! Huu msimu utakuwa mchungu kwetuSimba tutafungwa la pili..sababu tunafosi kwenda mbele kufunga tunasahau kulinda goli..
Wanatafuta goli 2 hapa wasikilizajiHahahhahah. Leo kusema ukweli natamani matokeo yaishe hivi hivi.
Pole mkuu. Tunasubiri simu ya mwalubadu kwa manyara.AIBU GANI HII MUNGU WANGU NITAIWEKA WAPI SURA YANGU MIMI KWA VYURA.
Tukifungwa Leo tutakoma aisee! Huu msimu utakuwa mchungu kwetu
Teh teh teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole mkuu. Tunasubiri simu ya mwalubadu kwa manyara.
Wow. Safi sana. Natamani walipate la pili.Wanay
Wanatafuta goli 2 hapa wasikilizaji
Muda bado Simba time ni kuanzia dk ya 75 hapo ni mashambulizi tutachomoa na kuongeza 2Dk ya 67
Mikia wanatepeta
Hata mie ujue Dada yaani hata sitaki yabadilike mana huwa wanachonga sana.Hahahhahah. Leo kusema ukweli natamani matokeo yaishe hivi hivi.
Yaani mikia wakifungwa leo lazima nibebe mimba ya mapacha.Dk ya 67
Mikia wanatepeta
Tupo pamoja dogo.Hata mie ujue Dada yaani hata sitaki yabadilike mana huwa wanachonga sana.
Hadi kit managerHawa jamaa kwanzia kipa hadi strikers hakuna mchezaji mwenye mapungufu....
Simba inashinda Goli tatu na kuchukua point tatu, kuna anaebisha??
Ngonja tusubiri hizo dakika.Muda bado Simba time ni kuanzia dk ya 75 hapo ni mashambulizi tutachomoa na kuongeza 2