baba itkar
New Member
- Aug 17, 2018
- 1
- 3
Ndio mpira ndugu yanguTumedharirika,tumepata fedheha kubwa,nimeumia sana sana sijui hata kama nitakula leo nimeumia mno.
Poa! Tunawatakia nyie wasafiri mliobaki safari njema! Ila leo aisee ππππMbumbumbu asante kwa kushiriki
Hahaha jumapili njema mtaniNdio kilichobakia Mtani. Teh teh
Hakuna cha mpira kudunda hapo. Wamepigwa tu hawajui mpira. Wanajua taarabu hao. Pamoja na kutolewa utamsikia taarabu zinazowadanganya za manaraNdio mjue mpira huwa unadunda. Na hapa wale waliokuzodoa kwenye ule uzi wako wajifunze.
Poa! Tunawatakia nyie wasafiri mliobaki safari njema! Ila leo aisee ππππMbumbumbu asante kwa kushiriki
We are still the best, ila narudia tena Deo Kanda ni mtu jamani!!!Sawa kwa mbinde sana
Ikiwezekana usile week nzimaTumedharirika,tumepata fedheha kubwa,nimeumia sana sana sijui hata kama nitakula leo nimeumia mno.
Mkuu Simba haijapoteza mechi ya leo!Mimi nililiona hili la kujiamini kupita kiasi maana hakuna aliyekua anazungumzia Simba kupoteza hii mechi
Nakaziaaa! Kikubwa washatangulia. ππ
Naongezea Swahiba wanatakiwa wajue sio kila siku ni jumapili. πππMbumbumbu asante kwa kushiriki
Mtani usile, kesho nayo ni siku[emoji23][emoji23][emoji23]Tumedharirika,tumepata fedheha kubwa,nimeumia sana sana sijui hata kama nitakula leo nimeumia mno.