Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Washabiki wa Simba bana! Mnatimu bora ila mjifunze mpira lolote linatokea! Mnaanza maneno mengiiiii, mara wabrazil mara Ajib! Hivi tuwe wakweli kikosi kilichopita ni sawa na hiki? Hiki kikosi ni bora ila mpira ndio ulivyo!
Hao kina Ajib na wabrazili ni wazuri sana tu, hawapewi tu nafasi na kocha. Ajib ni majeruhi.
 
Utani pembeni, Simba inawamiss sana Okwi na Kotei.
Msudan ni kawaida sana. Mo Hussein ni bora kuliko Gardiel.
Mkude alishazoea kucheza na holding midfielder mwenzake. Ku adjust awe peke yake itachukua muda.
Fragha ni mzuri kuliko Kotei, hujamuona tu. Tatizo letu lipo kwenye bench la ufundi hasa Aussems
 
Fragha ni mzuri kuliko Kotei, hujamuona tu. Tatizo letu lipo kwenye bench la ufundi hasa Aussems
Fraga ni mzuri kuliko Kotei.. Shibumbu ni mzuri kuliko Fraga, Shibumbu ni mzuri kuliko Kotei na Fraga lakini akachemsha. Mirajiiii Athumaniiiii goooooal.... Kudadadeki mnawasajili wauza madafu Brazil kuja kula pensheni ... Wapangishieni kigamboni Kuna madafu ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…