Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Yaani wakajifanya wana amsha amsha ambazo zimewatumbukia nyongo.Yaani mlikuwa mnashangilia wakati game bado.
Wawa hayuko fit,Manula hayuko fit
Ila Si mbaya tutaheshimiana tu
🤔🤔🤔 hivi Mkuu umenionea wapi huyu Mtani wetu huyu OKW BOBAN SUNZU? 😀