Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Mimi ni Yanga ila nawaombea Simba waibuke na ushindi tubakiwe na timu 3 angalau mwakani tupate tena nafasi nne za uwakilishi. Mara Paap na Lipuli wana paluhengo wanakwea pipa kimataifa
Tatizo wana maneno mengi sana, kujiona wai ndio wao, mpira wanaujua, kikosi kipana n.k Mie siwasupport hata sekunde 1, wafungwe tu
 
Back
Top Bottom